Nina rafiki yangu naye nimpiga picha mzr anatumia simu kama ww mmepishana kidogo sana lakini yy mdamwingi anakuwa project zake na wazungu ntakutumia pic zake uzione na mm nitamtumia zako aone.Bro shukran sana naomba uka share na wana ili tufundishane hizi mambo Canon mzigoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina gan ya simu au application gan unatumiaBrother situmiii kamera ni sm ya mkonon kama hiyo smart yako kaka [emoji120][emoji120][emoji106][emoji106]
Share na washkaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi,jitahidi upige zinazoendana na mazingira halisi ya Mtanzania
Samahani tunaweza wasiliana?
[emoji106][emoji106][emoji106]View attachment 1292665View attachment 1292666
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulete hayo maujanja maana mi ni mpenda piga picha sana na camera ya simu yangu uwa inatoa picha nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamojaa kaka ntacreat group tushare watsap huu ujuzi nikichelewa naomba uni dm tutafundishana tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina rafiki yangu naye nimpiga picha mzr anatumia simu kama ww mmepishana kidogo sana lakini yy mdamwingi anakuwa project zake na wazungu ntakutumia pic zake uzione na mm nitamtumia zako aone.