Mtu sahihi utamjuaje chiefJe hata baada ya kumpata mtu sahihi, na kujirisha kuwa huyu haswa "ameshushwa" kwa ajiri yako?
Hata mimi japo mimi na uwezo wa kuitambuaMm sjawahi kagua simu ya mwanamke wangu yeyote yule ambae nmewah date nae awake password asiweke hilo halinihusu
Wee mzungu hunaga mbambamba kabisa lo. Uko wazi
Hapana kabisa.