phone bill

phone bill

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,574
mzee mmoja alipokea bili ya simu ikiwa kubwa sana
ikabidi aite kikao cha familia kudiscus hiyo ishu
jamaa: hii sio sawa kabisa haiwezekani bili ije kubwa hivi na mimi huwa natumia simu ya kazini
mke: hata mimi situmiagi simu ya nyumbani natumiaga ya kazini
mtoto: mimi nina mobile ya ofisini so hii ya nyumbani natumia mara chache sana, sielewi ni nini
wote wakaangaliana na kumkazia macho house girl ambaye alikuwa pembeni kimya akiwasikiliza
akasema" ooh camon wote tunatumia simu za kazini what is the big deal
 
teh teh
 
beki tatu anatumia simu ya ofisi yake
 
Back
Top Bottom