Phoenix OS inanitoa kijasho

Phoenix OS inanitoa kijasho

Hivi kumbe ni window na OS ni vitu viwili tofauti, nitashukuru kama utanielekeza nujue nini ni nini kati ya hivyo.
Window ni os(operating system). Na phoenix ni is(operating system) lakini os ya window ni tofauti na os ya phoenix umeelewa

Mfano wa is zingine ni


Fedora 17,18,19,20,21
Linux mint
Ubuntu
Ms dos ya zamani mkuu
Ios
Android is nk
Os ni sawa na platform wakuu
 
subiria chrome os mwezi wa sita/saba itapata update ya kuiwezesha kurun apps za android na playstore kabisa, ikitoka hio update watu wataiport hadi firefox, google chrome na opera
Ikitoka tu usinisahau kwenye ufalme wako
Window ni os(operating system). Na phoenix ni is(operating system) lakini os ya window ni tofauti na os ya phoenix umeelewa

Mfano wa is zingine ni


Fedora 17,18,19,20,21
Linux mint
Ubuntu
Ms dos ya zamani mkuu
Ios
Android is nk
Os ni sawa na platform wakuu
 
Mimi nimenyoosha mikono Kila nikijaribu kuiweka hiyo Phoenix nikiwasha inaniambia kuna error haikubali mwisho nimeachana nayo tu
Jaribu remix os, pia ni os based on android kwa ajiri ya PC,IPO vizur sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom