black-tz
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 115
- 164
Phishing Link ni Nini?
Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema:
"Tazama nani anakupenda,"
"Bonyeza upate GB 50 za bure,"
au "Tazama nani anakuchukia kwenye group."
Zile link nyingi huwa mtego – zinaitwa phishing links.
Ni link zinazotengenezwa kuonekana kama halali, lakini ukigusa tu – mtu anapata njia ya:
Kukuibia password
Ku-control kamera yako
Kuku-track location
Au hata kuingiza virus kwenye simu yako
---
2. Kazi Zake Kuu
🔓 Kuiba Taarifa Zako
Ukigusa link, inakupeleka kwenye page ya bandia – mfano login ya WhatsApp, halafu ukieka namba na OTP yako, boom – ziko kwa hacker.
📸 Kuwasha Kamera au Mic Bila Kujua
Link zingine zinafungua kamera/mic background. Huoni kitu, ila unarekodiwa kimyakimya.
💬 Kudukua Account
Link inavyotumwa kwenye group au DM, mtu mwingine akiifungua – hacker anajipenyeza kwenye account zao.
🧠 Psychological Trap
Zinakuambia:
“Bonyeza hapa ujue nani anakuchukia”
“Tazama profile yako ya 2025”
“Tazama nani anakufuatilia”
Zote ni mtego wazee!
---
3. Namna ya Kujua Kama Link ni Phishing
Mara nyingi zinakuwa na jina lisilo rasmi:
instagrarn.com badala ya instagram.com
whatsap-verifysafe.net badala ya whatsapp.com
Hazina alama ya padlock (https://)
Zinalazimisha ushughulikie haraka:
“Usipobonyeza kwa dakika 5 GB 30 zitapotea”
Link inachukua muda ikikufungulia – inaruka ruka kwenye sites nyingi kabla ya ku-load
---
4. Aina za Phishing Links
Aina ya Link Inafanya Nini
Fake Login Page Inaiga login halisi – lakini inaiba password zako
Camera Access Links Ukiigusa tu, kamera inawashwa kimya kimya (mfano: camPhish)
OTP Grabber Inaomba OTP ukidhani ni ya WhatsApp – kumbe hacker anaisubiri
Redirect Chain Link inakurusha site 3–4 mfululizo – mwisho unalambwa silently
Malware Downloads Link ina-push apk au file la app ambayo ni spyware au RAT
---
5. Jinsi ya Kujilinda
✅ Ukiona link unaitilia shaka – usiibofye hata ukitumwa na rafiki
✅ Copy link → i-paste kwenye tool kama VirusTotal au CheckShortURL
✅ Tumia Brave, Firefox, au TOR browser – hizi zina protection against malicious links
✅ Angalia ruhusa (permissions) za apps zako mara kwa mara, especially kama zinaruhusiwa camera permission