Philipo Mangula akutana na wajumbe wa timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU)

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Timu ya Wajumbe Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya waliomtembelea leo ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.

Waangalizi wa Uuchaguzi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakimsikiliza kwa makini Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.

Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.

Kikao hicho pia kilihuzuliwa na Kaimu Mkuu wa Idara Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dkt. Pindi Chana.

Timu hiyo ya Waangalizi wa Umoja wa Nchini za Ulaya ilikuwa na ujumbe wa watu watano ambao ni Mhe. Judith Sargetini, Mbunge na Kiongozi Mkuu wa Waangalizi, Ms Tania Marques Naibu Kiongozi wa Waangalizi, Balozi Roeland Van De Geer (Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya), Ms Luana Reale, (Kansela) na Ms Anna Constatini (Mwambata wa Masuala ya Uchaguzi).
 
Picha tumeziona na kwa hakika zapendeza. Ka hiyo, nini kimejili na tutafaidika vipi au twajifunza nini toka katika picha na habari nusu nusu?
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Timu ya Wajumbe Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya waliomtembelea leo ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.

Waangalizi wa Uuchaguzi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakimsikiliza kwa makini Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.

Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakizungumza na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar
es salaam .Kikao hicho pia kilihuzuliwa na Kaimu Mkuu wa Idara Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dkt. Pindi Chana.

Timu hiyo ya Waangalizi wa Umoja wa Nchini za Ulaya ilikuwa na ujumbe wa watu watano ambao ni Mhe. Judith Sargetini, Mbunge na Kiongozi Mkuu wa Waangalizi, Ms Tania Marques Naibu Kiongozi wa Waangalizi, Balozi Roeland Van De Geer (Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya), Ms Luana Reale, (Kansela) na Ms Anna Constatini (Mwambata wa Masuala ya Uchaguzi)
Amekumbuka kumuelezea namna na jinsi CCM iklivyo shinda mwaka jana pamoja na siri za mafanikio ya ushindi?????????????????
 
Mangula kwa umri wote huu hajajifunza ukaaji wa kidiplomasia bado .Ametuma wrong message kwa ukaaji huo

Kaonyesha Inferiority ya dhahiri mbele ya delegation.Ni kama vile Mtoto mtukutu anayefokewa . Sio kwamba kaonyesha unyenyekevu bali inferiority na kutokuwa relaxed.
 
Mangula kwa umri wote huu hajajifunza ukaaji wa kidiplomasia bado .Ametuma wrong message kwa ukaaji huo
akikaa kuiga uzungu kwa kukunja kunja miguu ndio ukaaji wa kidiplomasia?
Yeye mwafrika anakaa kiafrika.
 
We unaona amekaa vizuri?

Kwa hiyo hao wazungu wako wanawake walioanika mapaja nje ndio wamekaa vizuri kidiplomasia kuonyesha hayo mapaja?

Mangula kaka poa tu si kila mtu lazima aegemee kiti kama ana tatizo la mgongo JE?

Kwa hiyo hayo mapaja ya wazungu yaliyo wazi ndio diplomasia yenyewe?

Mkao huo hauna adabu Mangula yuko vizuri tu.
 
Nimekuuliza unaona amekaa vizuri?

Umejibu maswali mengi, je kuna mahali nimesema amekaa vizuri?

Au kuna mahali nimesema wazungu ndo wamekaa vizuri?
 
Nimekuuliza unaona amekaa vizuri?
Anayejua kuwa kaka vizuri au hajakaa vizuri ni Mangula mwenyewe aliyekaa.Kakaa hivyo kwa kuwa anajua ndio mkao wake anaokaa vizuri vinginevyo asingekaa hivyo.
Hata angekaa kichwa chini miguu juu kama ndio mkao anaoona kakaka vizuri ingekuwa poa tu.
 
Mangula kwa umri wote huu hajajifunza ukaaji wa kidiplomasia bado .Ametuma wrong message kwa ukaaji huo

Vipi ofisi yenu ya MAKAO MAKUU CHADEMA kidiplomasia iko sawa? Wazungu wakija huwa mnawakimbizia mahotelini kuepuka aibu.Hivi hao wazungu wangeweza kuingia kwenye hiki kijumba chenu? hIVI PESA ZA ruzuku na michango ya wazungu huwa mnapeleka wapi hadi mkae kiofisi uchwara kama hiki?

5.JPG
 
Attachments

  • upload_2016-6-2_13-36-45.jpeg
    upload_2016-6-2_13-36-45.jpeg
    4.9 KB · Views: 49
Anayejua kuwa kaka vizuri au hajakaa vizuri ni Mangula mwenyewe aliyekaa.Kakaa hivyo kwa kuwa anajua ndio mkao wake anaokaa vizuri vinginevyo asingekaa hivyo.
Hata angekaa kichwa chini miguu juu kama ndio mkao anaoona kakaka vizuri ingekuwa poa tu.

Bado hujajibu swali mkuu, je wewe unaona kakaa vizuri?

Ndiyo au hapana.
 
Back
Top Bottom