Philipines Duterte terminates relations with US, joins China & Russia

Haya sasa Gaddafi ameshaondolewa na kuuwawa......

Na Kama walikuwa wanadai Democratic haya sasa ipo wapi hiyo Demokrasia waliyokuwa wakiitaka....???
Is a process na itachukua muda but they are getting there na acha wafumuane tuu na heshima na kuelewana ndio kutakuja kuliko kuwa under one dictator and his family for life
 
Hiyo Demokrasia ipo wapi hapo Libya kwa sasa.....???

Aliyeweka vibaraka hapo Libya na kuwahadaa wananchi kudai Demokrasia, hivi sasa anajichotea mafuta na kuyapeleka Nchi kwake.
Mkuu kwa swali langu huwezi kutoa jibu lenye kueleweka kwa mtu yeyote.
 
Koba tatizo lake hana evidence yeye nadhani huwa anasimuliwa hatafuti information..Kwahiyo kuhusu democrasia ya libya hawezi kukujibu chochote.
Hiyo Demokrasia ipo wapi hapo Libya kwa sasa.....???

Aliyeweka vibaraka hapo Libya na kuwahadaa wananchi kudai Demokrasia, hivi sasa anajichotea mafuta na kuyapeleka Nchi kwake.
Mkuu kwa swali langu huwezi kutoa jibu lenye kueleweka kwa mtu yeyote.
 
Ni kweli Mkuu
Tumemuona hata Uturuki akiomba radhi kwa Mrusi kwa kitendo chake alichomfanyia Urusi, na hata hivi juzi waliingia mikataba ya kibiashara japo yeye ni NATO lakini kawapuuza wenzie kwa kitendo cha kumwekea Vikwazo Mrusi.

Na inaonyesha kwa sasa Mataifa mengine yatafuata nyao ya Rais Duterte kwa ujasiri aliuwafanya,

Sema kwa upande wa Africa bado tumelala kwa kuogopa kutopatiwa misaada, ila Burundi wamedhubutu kwa kujiondoa kwenye kichaka ICC kilichowekwa kwa ajili ya viongozi wa Africa.
naona hata South Africa wanaifuata burundi, hivi harakati za kenya kujitoa ziliishia wapi?
 
Hii movie anayocheza huyu mwehu tumeshaiona before na tunajua exactly kitakachotokea nachosilkitika Philippines wote wataingizwa kwenye hili shimo, na huyo Gadaffi mnayemwona mungu mtu aliua sana Libyans kwenye Arab Spring na jeshi lake lilikuwa likiongozwa na mwanaye (jina???) walichinja Libyans kama kuku mpaka NATO walipoingilia so he can be your hero lakini alikuwa enemy of many ndani ya Libya na wengi walipoteza maisha na ujinga wake kama wa Durtete, alipoteza 20 yrs na kuingiza the whole Nation in sanctions ili kulinda terrorist wateka ndege kwa ajiri ya ubwege tuu kitu ambacho angeweza avoid

Mkuu Koba labda wewe ni msahaulifu sana.
Hivi anachofanya raisi Kagame hapo Rwanda na alichokifanya raisi Gadaffi huko Libya kuna tofauti?
Au ndiyo andiko la ule msemo Nyani Haoni Kundule linatimia?
Hebu nijibu swali dogo tu: Hivi leo maandamano kama ya Libya yatokee Kigali unadhani Jenerali Paul atawachekea tu? Kuna watu anawafuata hata huko nje ya nchi anawashughulikia bila huruma. Kinachonishangaza ni kwamba kwanini Gadaffi ndiyo awe mbaya kuliko mtawala yoyote yule duniani?

Halafu umesahau jinsi Ronald Reagan alivyomlinganisha gaidi Jonas Savimbi na Abraham Lincoln?
Akampa na silaha aina ya Stingers aende akawaulie watu wa Angola wasio na hatia mbona haya husemi?

Pol Pot kule nchini Cambodia ameua watu zaidi ya milioni saba na alikuwa ni rafiki wa Marekani hili husemi.
Mobuthu ameleta maafa gani hapo Congo tokea mwaka 1961 hadi 1997?
Kama kuna utakatifu wowote mbona haya ya haki za binadamu huyasemi?
 
Ghadaffi was a man that fought every agency of power of white supremacy, that tricked and controlled Africa, parts of Asia, Central and South America and also Pacific regions, but i can tell brother Ghadaffi was their champion. Every oppressed people on the earth, he helped them. He helped the Irish republican army, he helped the muslims in the Philippines, he helped Africans to overthrow the puppet regimes of France and Britain that were sucking the life blood of our forefathers. Yes, he did that.. So mimi nakuelewa mkuu kwa ulichoandika hapo, ila kuna ndugu yetu mmoja Koba yeye haelewi haya..Much respect, you've information.
 
Mkuu Koba labda wewe ni msahaulifu sana.
Hivi anachofanya raisi Kagame hapo Rwanda na alichokifanya raisi Gadaffi huko Libya kuna tofauti?
Au ndiyo andiko la ule msemo Nyani Haoni Kundule linatimia?
Hebu nijibu swali dogo tu: Hivi leo maandamano kama ya Libya yatokee Kigali unadhani Jenerali Paul atawachekea tu? Kuna watu anawafuata hata huko nje ya nchi anawashughulikia bila huruma. Kinachonishangaza ni kwamba kwanini Gadaffi ndiyo awe mbaya kuliko mtawala yoyote yule duniani?

Halafu umesahau jinsi Ronald Reagan alivyomlinganisha gaidi Jonas Savimbi na Abraham Lincoln?
Akampa na silaha aina ya Stingers aende akawaulie watu wa Angola wasio na hatia mbona haya husemi?

Pol Pot kule nchini Cambodia ameua watu zaidi ya milioni saba na alikuwa ni rafiki wa Marekani hili husemi.
Mobuthu ameleta maafa gani hapo Congo tokea mwaka 1961 hadi 1997?
Kama kuna utakatifu wowote mbona haya ya haki za binadamu huyasemi?
Nakuelewa sana mkuu
 
mimi hayo mengine watajijua wemyewe ninalotaka kufafanuliwa ni hiyo picha nyuma yao inamaanisha nini?
 
What i can advise you is that you should learn more about international affairs. Do you even know why they killed Ghadaffi at 1st place? Are you really supporting what USA and it's ally France together with NATO did in Libya? Is that really democracy that a sovereign country like libya wished for? Think and write brother.
Mkuu nadhani ujanielewa nilichoandika na unanishambulia bure tu.Mimi nilikua namaanisha kua mgogoro wa Libya ulipandikizwa na foreigners ambao ni NATO sasa nashangaa jinsi unavyonishambulia kanakwamba Mimi nimesema nafrahi kuuwawa kwa gadaffi
 
Hahaha acha upuuzi watu walikuwa wanataka haki na demokrasi bada ya kutawaliwa 40 yrs kwa udkteta na Gadaffi na Mubaraki na wapuuzi wengine leo mnasema west ndio waliohusika? akili zenu matope sana nyie na hao wakomunist sijui mnaona nini cha maana walichoifanyia dunia zaidi ya kuongeza njaa tuu,angalia Venezuela,Cuba etc walioamua kujiingiza na beef za kijinga wamefika wapi?
Mkuu tafadhali usinitusi kua mstarabu,wewe kama unafact unaweka kistarabu tunachangia sote bila matusi tutaelewana tu
 
Koba wasomi huwa wanatoa evidences katika kuweza kujustify kile ambacho wanakizungumza..Please tueleweshe tuelewe ndugu yangu..Communism wamewauwa watu gani na wataifa lipi?
Huna haja ya kuwa msomi kujua hilo..just google it
 
Back
Top Bottom