Robson Mulabwa
Senior Member
- May 9, 2011
- 119
- 30
Kwa ccm cjaona mtu wa kushindanisha Dr.Slaa labda kama unataka aibu tu humu labda chama kingine tena sio Tanzania
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuuMkuu wangu ni matusi makubwa kumlinganisha Dr Slaa na Bwana Mangula.
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu
Hebu futa kauli yako kwanza,yani mtu mmoja wa c.c.m hawezi kushindana na slaa,labda waungane wapambane nae kama kundi,group/c.c.m vs dr. Slaa
Kwahiyo we ndo unaona umejadili kisomi siyo,hebu tuletee ushahidi CHADEMA imesajiliwa kama kampuni na siyo chama cha siasa,nna mashaka na huo usomi wako
Mangula ni kiboko kwa kila Kitu, hata babu analijua hilo. Slaa hata huwezi kumfananisha na Komredi Mangula.
Hebu futa kauli yako kwanza,yani mtu mmoja wa c.c.m hawezi kushindana na slaa,labda waungane wapambane nae kama kundi,group/c.c.m vs dr. Slaa
mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari
bora mkuu umeliona hilo
mazingira magumu kudidimiza akina ZZK??? MANGULA kaongoza akili za watu 6,000,000 vp huyo babu yenu??Mangula alifanya kazi gani.? Ikiwa Polisi,jeshi,Tiss,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote walitumiwa na wanatumiwa na ccm katika kuhakikisha ushindi..! Mpe heshima yake Dr.Slaa,maana anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.!
Kumbe kuchakachua matokeo kwa kutumia usalama wa Taifa, majeshi na viongozi waandamizi serikalini ni mbinu iliyobuniwa na mzee Mangula?mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari
Kumbe kuchakachua matokeo kwa kutumia usalama wa Taifa, majeshi na viongozi waandamizi serikalini ni mbinu iliyobuniwa na mzee Mangula?
Mangula baaaaaas
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
wàambie hao