Kiongoz unaijua level yake ya Elimu???huyo ni Phd holder tangiapo,labda kama ya hesma tu...Amina mkuu.. ila nilitamani Tanzania ikaonyesha heshima. Kwani wezetu wa Ghana walimtunuku Pastor Mensa otabili.
Najua ukimaliza kazi utavishwa taji... natamani taji hilo lingeazaa na hapa dunia.
Mm ni muislam lakini nasoma kitabu cha 365 days prayer devotional cha Dr. Myles Munroe, nimejifunza hekima nyingi sana kwake. Haki itabaki kuwa haki hata kama atakayezungumza ni mpinzani wako. Nampenda pia Mwl Mwakasege kama ninavowapenda wanachuoni wangu wa kiislamu kama kishki, Rusaganya, Basaleh etc. Nachozingatia ni neno ninalofundishwa sio dini wala dhehebu. Nimekombolewa kifikra kwasababu ya kuwa neutral katka mind yangu.Mkuu hatuongelee dini... tunaangalia mchango wake katika taifa amewezaje kugusa maisha ya WaTz. Wanao amini na wasio Amini.
Mbona the Late Dr Myles Munroe alipofika Tanzania .. Mh Dr Gariab Bilal makamo wa Rais enzi hizo. Alihudhuria semina yake na kumpokea kama Kiongozi wa Nchi? Ni kwa sababu ya Mchango wake juu ya ukombozi wa kifikra..
Mungu akubariki kwa ushuhuda huo mkuu hakika na amini wengi watakombolewa kifikra zaid na zaid.Mm ni muislam lakini nasoma kitabu cha 365 days prayer devotional cha Dr. Myles Munroe, nimejifunza hekima nyingi sana kwake. Haki itabaki kuwa haki hata kama atakayezungumza ni mpinzani wako. Nampenda pia Mwl Mwakasege kama ninavowapenda wanachuoni wangu wa kiislamu kama kishki, Rusaganya, Basaleh etc. Nachozingatia ni neno ninalofundishwa sio dini wala dhehebu. Nimekombolewa kifikra kwasababu ya kuwa neutral katka mind yangu.
wewe ndiye uliyetuambia habari za MwakasegeTuanze na wewe unayejitambuaaa ..
Kama ungekuwa unajitambua basi ungeeleza kwa kina na kwa hoja.. siyo mipasho kaa ya Hadija kopa.. na wasiwasi na elimu yako na taalumaa yako.
Hebu soma post za waduu mbalimbali utaelewaaa...ujinga wangu.wewe ndiye uliyetuambia habari za Mwakasege
toa sifa zake na Elimu mpaka unampa Phd
hovi hawa wote wenye Dini zao umewadharau au unawatambua uwepo wao
nimeamini ww ni mjinga wa kutupwa unayewakashifu wenzako kwa kudharau hata Haduja Kopa
Mwakasege kaanzia Mbuguni km mchimbaji / mtafutaji wa Tanzanite mpaka ya 1989 na ndiko alikouanza Uinjilist
ww endelea na Mambo ya Dini kwenye Jukwaa husika la DINI hapa unatuchokoza
Mods wakusaidie
Atakua Dar es salaam tareh 6/3/2016 had tareh 13 pale viwanja vya udsm mnakaribishwa wote. Wale wa mbali tunaweza fungua ustream kuangalia live. Dnt mis it and u wont regret i assure u. Praise the LordNina Kaka yangu alimwongeleaga akanivutia nimfatilie zamani, ila sijawahi kwenda anaposalisha. Naomba mkumbuke kutuambia akiwa live tumwangalie hata online kama tupo mbali na mkoa aliopo.
I love this baba. Mungu anajua aisee. He is a gift from God. Thnx Jesus for this wondrful person to usMwakasege ni mtumishi wa Mungu asiye na udini na umadhehebu,habagui,anafundisha Biblia kwa watu wote kwa amani na upendo.
Mbona jamaa Wa msoga alikuwa akipewa tu?ndio apewe PhD? Unajua utaratibu wa kupata PhD?
Atakua Dar es salaam tareh 6/3/2016 had tareh 13 pale viwanja vya udsm mnakaribishwa wote. Wale wa mbali tunaweza fungua ustream kuangalia live. Dnt mis it and u wont regret i assure u. Praise the Lord
Amefanya nini?Naona huu ni wakati muafaka kwa vyuo vyetu vikuu ndani ya Tanzania kumtunuku Shahada ya (Heshima) kutambua na kuuthamini mchango wa Mwl huyu katika ukombozi wa Fikra haswa katika maswala ya Uchumi na Uongozi.
Tangopori uko vizuri kichwani na rohoniHana haja ya hiyo PhD ya vyuoni
Maana hafanyi kwa akili zake mwenyewe, we mtukuze Mungu kwa alichompa na Mungu atamuongezea zaidi kwa ajili ya wengi.
Hakuna pesa laini weweNa Antony Lusekelo apewe PhD ya ujasilia mali na kujipatia pesa kilainiiiiii!!!!!
Gwajima PhD ya Mitusi..... na uzinifuuuu
Apo umeingia kona ingine asee, yeye ni mwalimu na kuna manabii na mitume pia, sio kwa kujiita wengine ni huduma zao if u wat Bible says abt iyYeye sio mtu wa kupenda misifa ni mtu anatumia karama yake angeweza kujiita nabii au mtume au bishop