Phantom z mini inagoma kufanya updates

Phantom z mini inagoma kufanya updates

kussy

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2010
Posts
408
Reaction score
124
Wadau habari, naomba msaada wenu simu yangu ya techno Phantom z mini inagoma kufanya updates, na kufanya installation ya application mpya, Inasema "installing" tu muda wote
 
android zote ziko hivyo ila nenda tecno wakakufanyie hiyo kaz usiwape hawa mafundi wetu mtaani wataitia ubovu kabisa
 
Back
Top Bottom