Mpaka mjute kumdhihaki Dr JPM (PhD)Huku Tanesco huku Petrol Nchi ngumu utadhani jiwe la mtoni...
Na hawa jamaa wapo kimya utadhani hii bei ya Mafuta inapanda huko Chad sio Tanzania...Mpaka mjute kumdhihaki Dr JPM (PhD)
Hapo ruzuku ya 100 bilioni inatolewa kila mwezi. Tunaipongeza Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya ChamaNa hawa jamaa wapo kimya utadhani hii bei ya Mafuta inapanda huko Chad sio Tanzania...
Wanachoweza ni kuwafunga kina mbarikiwa haya ya kitaifa tungetafuta wawekezaji tuNa hawa jamaa wapo kimya utadhani hii bei ya Mafuta inapanda huko Chad sio Tanzania...
ewura ni matapeliView attachment 2771211
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita.
Tanga, Petroli ni Tsh. 3,327, Dizeli 3,494, Mafuta ya Taa Tsh. 2,989 na Mtwara, Petroli itauzwa Tsh. 3,353, Dizeli Tsh. 3,520 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,016 ambapo EWURA imesema ongezeko hilo linatokana na kupanda kwa 4.21% ya Gharama za Mafuta katika Soko la Dunia.
Aidha, EWURA imesema gharama za uagizaji Mafuta zimepanda hadi kufikia 17% kwa Petroli, 62% kwa Dizeli na 4% kwa Mafuta ya Taa. Pia, Bei za Mafuta zimeathiriwa na uamuzi wa wazalishaji wakubwa wa Mafuta duniani (OPEC+) waliopunguza uzalishaji pamoja na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya
Urusi.
========
View attachment 2771212
Na Nchi ukishindwa kusimamia vizuri swala ya mafuta basi mambo mengi yatasumbua yanayohusiana na mafuta...Wanachoweza ni kuwafunga kina mbarikiwa haya ya kitaifa tungetafuta wawekezaji tu
Wapunguze zile kodi ipo 26% kwenye mafuta hiyo ruzuku hata wasipotoa wakatoa baadhi ya kodi kichefuchefu za mafuta life itaenda sawa...Hapo ruzuku ya 100 bilioni inatolewa kila mwezi. Tunaipongeza Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama