Petroleum engineering

Petroleum engineering

sasa haya yote uliyo yaeleza ni mambo ya mtu wa Petroleum Chemistry. Petroleum engineering kazi yake ni kuchimba na kuzalisha mafuta kutoka kwenye kwamba. Huyo Petroleum chemistry ndiye anahusika na kusafisha mafuta na gesi, kutengeneza kemikali kwa kutumia kampaundi zilizopo kwenye mafuta na gesi, kutengeneza mafuta mbadala kama hayo uliyo yaweka hapo, kutengeneza matairi, kutengeneza mbolea kwa kutumia gesi (Natural gas) na mafuta (naphtha), n. k n. k
Degree yoyote uwa na kozi maalum kwa ajili ya kitu fulani, ukisema hili ni la yule na hili ndio langu utoboi na degree yako.
 
Hawezi kutoboa atakimbia
Kitu ambacho hawajui nikuwa wanaenda kusoma rocks aka miamba ambayo ni combination of minerals and compounds ambapo kama haukosoma Physical chemistry au organic chemistry hupati kitu kapo kisha watasoma masuala ya composition, decomposition, transportation and erosion, migration(petroleum), deposition, leaching, structure (fracture, earthquakes, physics and maths), mineralogy and crystrostaphy(chemistry) etc
 
N
Ndio maana UDSM huwezi chaguliwa petroleum au mechanical engineering kama huna PCM. Unadhani kwanini. UDSM hata geology tu PGM huchukuliwi.
Acha udanganyifu ndugu,nina mdogo wangu kasoma geology UDSM hapa tena kaingia na EGM,amemaliza salama na yuko kazini sasa
 
Acha udanganyifu ndugu,nina mdogo wangu kasoma geology UDSM hapa tena kaingia na EGM,amemaliza salama na yuko kazini sasa
geology ipi kasoma mkuu pale UDSM kuna Geology za aina tatu.
1. BSc With Geology
2. BSc in Geology
3. BSc Petroleum Geology
3. BSc Engineering Geology.

Yeye kasoma ipi kati ya hizo?
Nina uhakika kasomea hiyo Hiyo (with Geology)

Hizo zingine hawezi chaguliwa akiwa na EGM.
 
Hiyo ilikua hot. Nakumbuka 2013 namaliza Geology UDOM washakaji wa petroleum karibi wote walikua washapata ajira za maana wakiwa chuo bado. Alafu darasa lao walikua 7 tu.
Na wewe uko wapi sasa hivi?

Au bado uko Tanga umelala!

Tutafutane aisee!
 
Acha udanganyifu ndugu,nina mdogo wangu kasoma geology UDSM hapa tena kaingia na EGM,amemaliza salama na yuko kazini sasa
Nakazia tena na tena EGM hawezi somea IN GEOLOGY wala PETROLEUM GEOLOGY wala GEOPHYSICS wala ENGINEERING GEOLOGY.
 
Nakazia tena na tena EGM hawezi somea IN GEOLOGY wala PETROLEUM GEOLOGY wala GEOPHYSICS wala ENGINEERING GEOLOGY.
Hapa umekuwa specific
With GEOLOGY ,in GEOLOGY , huko mwanzoni mlikuwa mnaitaja GEOLOGY bila kuspecify,kumbe hiyohiyo GEOLOGY kuna ambayo EGM anaingia na ambayo EGM haingii kulingana na limitation ya maarifa yake toka advanced level .
 
ndio mkuu, kuna nyingine imeongezwa
Inaitwa IN GEOLOGY and GEOTHERMAL RESOURCES.
 
Hapa umekuwa specific
With GEOLOGY ,in GEOLOGY , huko mwanzoni mlikuwa mnaitaja GEOLOGY bila kuspecify,kumbe hiyohiyo GEOLOGY kuna ambayo EGM anaingia na ambayo EGM haingii kulingana na limitation ya maarifa yake toka advanced level .
Kwa kifupi ni kwamba hizi IN GEOLOGY, PETROLEUM GEOLOGY, AND ENGINEERING GEOLOGY zinahitaji knowledge ya ADVANCED PHYSICS AND ADVANCED CHEMISTRY.
 
Back
Top Bottom