Fursa zipo nyingi, sema tu graduates wengi wamekariri ajira za kuajiriwa.
Kwa mfano;-
1.Anza kujitolea katika Petro Station kama mjaza mafuta ya magari.(ajira)
2.Anza kufanya private reseach zinazohusu ulichosomea.
-maeneo yanayohitajika na yasiyohitajika katika kuanzisha vituo vya mafuta.
-Namna ya kuinua sekta ya nishati kwa kutumia mafuta yatokanayo na mimea, wanyama au takamwili hasa zile zitokazo majumbani.
-Buni mbinu mbadala ya namna ya kuhifadhi na kuuza mafuta hasa katika maeneo ya visiwani, vijijini, na maeneo mengine yasiyo uwezekano wa kuwepo vituo vya mafuta.
-Namna gani unaweza kuongeza thamani bidhaa za mafuta kwa kutumia mimea, matunda na mizizi hasa katika tiba, ushafishaji na uendeshaji wa mitambo na utengenezaji wa dawa za kuua wadudu.
Kwa kuna article moja hapa:-