I beg to differ na REV KISHOKA
In my opinion this is another form of USHABIKI ambao i wont be part of.
Of all the pile of rubbish of rulers we have mnataka kunaimbia kuwa LOWASSA na SITTA ndio hawafai?
lets be realistic how about having a realistic petition kama vile ya kutaka baraza la mawaziri lipunguzwe, kubadilisha katiba ambayo itakuwa inclusive na siyo kuwatenga minorities, au katiba ambayo itawezesha utaratibu mzuri wa CHECKS and BALANCES na kwani hapo ndipo tutajua majibu ya maswali kama vile:
-LOWASSA AU MAWAZIRI WETU 60 NA OFISI ZAO ZINATUMIA KIASI GANI PER DAY
-NI NANI ALIYEKUWA ANAPUSH MRADI WA KUJENGA UWANJA WA TAIFA PALE TEMEKE BADALA YA BARABARA KULE KISARAWE
-HAWA GHASIA AMESHAACHIEVE NINI TANGU ACHAGULIWE
etc etc
Halafu Waziri Mkuu na Spika wakiondolewa unapendekeza warudishwe Sumaye na Msekwa?
Halafu Waziri Mkuu na Spika wakiondolewa unapendekeza warudishwe Sumaye na Msekwa?
Kama kuna vipengele kwenye Katiba yetu ambayo wengi wetu hatujawahi kuiona wala kuisoma basi tumwombe Mh Slaa apeleke hoja Bungeni ya kukosa imani na bwana Speaker (Six) maana amesema uongo na maamuzi yake yanaegemea kwenye chama cha mafisadi (sisiem), Waziri mkuu amekuwa akifanya kazi za sanaa tu badala ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali wa kila siku...
ila wasi wasi bunge letu la Tanzania ni aibu naona hata aibu kutambulisha MP ....si ndo wale akina Mzindakaya, Makweta, Mdhihiri etc etc... Yono aliyetaka watu wenye HIV wapigwe mihuri (Brand) kama ng'ombe duuuu
Kama kuna vipengele kwenye Katiba yetu ambayo wengi wetu hatujawahi kuiona wala kuisoma basi tumwombe Mh Slaa apeleke hoja Bungeni ya kukosa imani na bwana Speaker (Six) maana amesema uongo na maamuzi yake yanaegemea kwenye chama cha mafisadi (sisiem), Waziri mkuu amekuwa akifanya kazi za sanaa tu badala ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali wa kila siku...
Kipengele cha kumuondoa Spika na Waziri mkuu viko attached mwanzo wa thread. Nimechukua muda kupitia katiba yote. Sikuamini kumbe katiba inajambo la kizalendo kama hili. Hawa Mabwana wawili lazima wawajibike kwa niaba ya wanaowaongoza kwani wao ni viongozi wakuu katika idara zao, yaani Baraza la Mawaziri na Bunge. Ni jambo la kwaida kabisa kwa viogozi wa idara mabalimbali kuanza kuwajibika pale panapokuwa na tatazizo kwenye idara hiyo. Hata Balali, Raisi mstaafu Mwinyi wanayajua hayo..etc. Katiba iliyopo ilijua umuhimu wa hizo nguzo mbili na ndio ikazitungia sheria iliyopo. Na sisi tunajua umuhimu huo, hasa kwenye vita vya ufisadi uliokidhiri katika Taasisi hizo. Hivyo basi tutawashinikiza wabunge kuitumia katiba kikamilifu kufikia adhama hiyo. Kwanza tumechelwa sana. Kwa sasa tusonge mbele na tuendelee kutekeleza hii petition kwa sababu zifuatazo:
Halafu Waziri Mkuu na Spika wakiondolewa unapendekeza warudishwe Sumaye na Msekwa?
Kama unataka jibu la kijinga kwa swali la kijinga na kipumbavu, basi jibu ni ndiyo! je umesikia mtu akisema kuwa wao ni bora?
Rev. Kishoka,
The question is very valid please jibu na wala sio kuogopa na kukwepa.