Kwa mashabiki wa Madam Wema Sepetu watakua wanampata vyema huyu kijana. Mwanzoni nilianza kumsikia sana kwenye nyimbo za wasanii kama Dully, Tundaman, ferouz. Hapo nikagundua huyu mtu ni maarufu, ila sasa mwenzenu sielewi umaarufu wake unatokana na nini hapa mjini. Kwa anayemfahamu please anipe details!