aisee hata mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari aisee...ila naamini hajamuoa Karen!
HAPANA aisee!
Ana beba mikoba ya Esma Dangote na ni meneja wa BilnassHuyo petman anafanya kazi gani ?
kabisa!aisee hata mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari aisee...
Lakini la huyu mtoto kuanza kupambana kwenye mitaa yakina Petit hakika Gardner analia muda huu kwa uchungu
kigeugeu. Kuwa na msimamo kama ni baada ya 40 au ni sasaTuanze sasa hivi kama vipi
Hili jambo na hii habari hata mimi imeniumiza sana bado najiuliza sana na nina amini hii habari si kweli lakini kuwa na mahusiano na huyo petit bado ina sikitisha sana....hii ndio shida ya kuruhusu mtoto afanye atakavyo...kabisa!
na anavompenda mwanae!
dah!
as a mother nimemfeel kwa kweli!
HATA KAMA HAMUOI YEYE!
hakuna mzazi wa binti wa umri wa Karen UTAFURAHIA UKISIKIA MWANAO anadate PETIT jamani!
Itakuwa kimemshinda nini yeye manake kwa hamisa mabede alituambia bibie hakuwa msafi ndio maana kaka yake alimbwaga sasa sijui yeye petit kamuacha kwasababu gani?Amebaki na duka lake la vitenge
na atulie afanye biashara zake tena ashukuru mungu kumpunguzia matakataka kwenye maisha yakeKwakweli kutafuta pesa ndio mambo yote. Esma hana alichopoteza kwa kumkosa Petit, ni kama alikuwa anajidhibia ridhiki tu. Unaonekana Mrs. somebody, wakati somebody mwenyewe hana mbele wale nyuma. Mi nilikuwa najiuliza sababu ya Esma kumfuga yule jamaa. Bora abaki na duka lake la vitenge tu.
kumbuka Petit kaachwa sio kila mwanaume anaacha wengine wanaachwaItakuwa kimemshinda nini yeye manake kwa hamisa mabede alituambia bibie hakuwa msafi ndio maana kaka yake alimbwaga sasa sijui yeye petit kamuacha kwasababu gani?
Leme consider it as one side of the coin regarding what is circulating on social media right now, kuwa bidada ndio kamwagwa.kumbuka Petit kaachwa sio kila mwanaume anaacha wengine wanaachwa
Huyo Gardner kakubalije mtoto wake aolewe na muhuni asee?
Umeona eeh, tena ilitakiwa afanye sherehe ya kupunguziwa takatakana atulie afanye biashara zake tena ashukuru mungu kumpunguzia matakataka kwenye maisha yake
Petiii alishamwagwa muda mrefu tu... alirudiwa kwa muda baada ya kusekwa central... mapenzi yakarudi kwa muda, akapigwa kibuti tena. Mwanamke gani anaweza kuishi na mbeba pochi? Hao wanao circulate msg social media kuna vita yao nyingine wanapigana kumnyanyua (the current) boss wao. Ila huwa hawana permanent friend, usije kushangaa kehso wapo team esmaLeme consider it as one side of the coin regarding what is circulating on social media right now, kuwa bidada ndio kamwagwa.
Mi kufuga mwanaume sijawaza bado.. Nikikaribia 40 huko and single ntatafuta MTU mzima mwenzangu tusogeze nae uzee..
Ila chips mayai zilivyo tamu jamani acha tu Menopause ije mapema Cha Muhimu Uhai
picha tu inatosha maneno watajazia kama katuni vile duuStory za wabongo utaziweza,binti hajaolewa nahisi ni wimbo si unajua wabongo wape picha tu maneno wataweka wenyewe
kwa kifaransa petit naye ni mdogoSijui anakimbilia wapi.. Mdogo Sana kujiingiza kwenye ndoa Na mwanaume Kama Petit
IQ ya Gardner inasoma 101 kwa mujibu Wa twaweza
Kumbe jamaa hana shughuli yoyote ile mjini? Alishindwa kuwa na akili ya biashara akaongea na bwashee wake akampa mtaji akaendeleza biashara yake, mijitu mingine haina tofauti na mavi, penye miti hapana wajenzi kwa kweli.Petiii alishamwagwa muda mrefu tu... alirudiwa kwa muda baada ya kusekwa central... mapenzi yakarudi kwa muda, akapigwa kibuti tena. Mwanamke gani anaweza kuishi na mbeba pochi? Hao wanao circulate msg social media kuna vita yao nyingine wanapigana kumnyanyua (the current) boss wao. Ila huwa hawana permanent friend, usije kushangaa kehso wapo team esma
ukizaa mtoto wakike basi umelipa DENI kwa wanaume wengineMtoto kamuambia akimkatalia kuolewa atakunywa sumu kakosa namna.