Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

ila naamini hajamuoa Karen!
HAPANA aisee!
aisee hata mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari aisee...
Lakini la huyu mtoto kuanza kupambana kwenye mitaa yakina Petit hakika Gardner analia muda huu kwa uchungu
 
aisee hata mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari aisee...
Lakini la huyu mtoto kuanza kupambana kwenye mitaa yakina Petit hakika Gardner analia muda huu kwa uchungu
kabisa!
na anavompenda mwanae!
dah!
as a mother nimemfeel kwa kweli!
HATA KAMA HAMUOI YEYE!
hakuna mzazi wa binti wa umri wa Karen UTAFURAHIA UKISIKIA MWANAO anadate PETIT jamani!
 
kabisa!
na anavompenda mwanae!
dah!
as a mother nimemfeel kwa kweli!
HATA KAMA HAMUOI YEYE!
hakuna mzazi wa binti wa umri wa Karen UTAFURAHIA UKISIKIA MWANAO anadate PETIT jamani!
Hili jambo na hii habari hata mimi imeniumiza sana bado najiuliza sana na nina amini hii habari si kweli lakini kuwa na mahusiano na huyo petit bado ina sikitisha sana....hii ndio shida ya kuruhusu mtoto afanye atakavyo...
Inasikitisha sana Sijui Gadner anajisikiaje..
 
Kwakweli kutafuta pesa ndio mambo yote. Esma hana alichopoteza kwa kumkosa Petit, ni kama alikuwa anajidhibia ridhiki tu. Unaonekana Mrs. somebody, wakati somebody mwenyewe hana mbele wale nyuma. Mi nilikuwa najiuliza sababu ya Esma kumfuga yule jamaa. Bora abaki na duka lake la vitenge tu.
na atulie afanye biashara zake tena ashukuru mungu kumpunguzia matakataka kwenye maisha yake
 
Itakuwa kimemshinda nini yeye manake kwa hamisa mabede alituambia bibie hakuwa msafi ndio maana kaka yake alimbwaga sasa sijui yeye petit kamuacha kwasababu gani?
kumbuka Petit kaachwa sio kila mwanaume anaacha wengine wanaachwa
 
kumbuka Petit kaachwa sio kila mwanaume anaacha wengine wanaachwa
Leme consider it as one side of the coin regarding what is circulating on social media right now, kuwa bidada ndio kamwagwa.
 
Leme consider it as one side of the coin regarding what is circulating on social media right now, kuwa bidada ndio kamwagwa.
Petiii alishamwagwa muda mrefu tu... alirudiwa kwa muda baada ya kusekwa central... mapenzi yakarudi kwa muda, akapigwa kibuti tena. Mwanamke gani anaweza kuishi na mbeba pochi? Hao wanao circulate msg social media kuna vita yao nyingine wanapigana kumnyanyua (the current) boss wao. Ila huwa hawana permanent friend, usije kushangaa kehso wapo team esma
 
Kumbe jamaa hana shughuli yoyote ile mjini? Alishindwa kuwa na akili ya biashara akaongea na bwashee wake akampa mtaji akaendeleza biashara yake, mijitu mingine haina tofauti na mavi, penye miti hapana wajenzi kwa kweli.
 
Back
Top Bottom