Peter Msigwa: We were liberated only to be captured again

Kuna mpoyoyo mmoja anasema eti aende Somalia. Kuna tofauti gani Kati ya hapa tulipo na huko Somalia?
Somalia watu wamejitoa ufahamu na kuingia mtaani ukawaulize ilikuwaje wakafikia hapo ndipo uje urekebishe uandishi wako
Kuna siku hata hapa watu watajitoa ufahamu tugawane magorofazzzzzz
 
Huyo Msigwa ni mpuuzi mkubwa.
Ndio useme upuuzi wake upi??? Kwani uongo alichosema!!! Kuna watu wanaishi chini ya dollar moja kwa cku wengine wanashindia mlo moja.... Sasa kuna tofauti gani ya uhuru na kabla ya uhuru!!! Jibu kwa hoja sio matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…