Peter Msigwa Live Channel Ten

Peter Msigwa Live Channel Ten

Msingwa:Tulizikataa safari zisizo na tija kwa taifa,Lakini zile zenje tija rais anastahili kwenda.
Hata mwalimu nyerere alisafiri nje,Na alisafiri kwenye safari zenye manufaa kwa taifa
 
Kibo Asante kwa Update!
Ningependa kupata list ya hizo ziara Mh. Msigwa alizoziona ni za manufaa kwa taifa lakini rais hakwenda!
 
  • Thanks
Reactions: nao
After all, Peter msigwa ni useless lot. Rais kukaa nchini akashughulikia matatizo yetu ni muhimu sana. Foreign relations baadaye. Misaada wanayo tupatia ina masharti ovyo. na haitoki. Mcc K. M. wameisha tafuta visababu uchwara kuchelewesha mkopo wao. Kadiri tutakavyoachana na misaada ya wafadhili, Itakuwa bora sana kwetu. JPM yuko sahihi 100%.
Cdm baada ya kuzika hoja ya ufisadi wanatafuta hoja kuonekana wapo kazini. Msigwa is useless!

sidhani kama litakuwepo lamaana zaidi, maongezi yatakua kisiasa zaidi, ningeshauri kuwepo nawatuwaliosomea na wenye uzoefu wa mauhusia ya kimataifa.
hawa wanasiasa hawawezi wakachambua mambo yao wenyewe, hapo tunashindwa sana tz.

tuwatumie wataalam wetu,

jambo limitendwa na mwana ccm unataka aeleze/achambue chadema unategemea nini.......
 
Jibu la haraka haraka tu basi ni kwamba Mafisadi ni Chenge, Muhongo, Tibaijuka wamerudi bungeni! Mpinga ufisadi Kafulila hayuko Bungeni!
umewasahau Lowasa, Sumaye maana hao nao ni zao la ccm, chadema tulikosea sana kumuchukua Lowasa ndo maana tukiulizwa juu ya lowasa tunakosa point ya kujibu..ccm ni chama cha kulea na kukuza wezi baadh yao wanahama sitashangaa sana siku chadema wakimpokea Chenge
 
Msigwa mchango wako umetawaliwa na siasa.
Kumbuka magufuli anamiezi 60., nchi ilifikia pabaya kumtaka Rais asafiri kwa sasa nje ya nchi si Sawa.
Mwache rais afanye kazi ndani, kuna uozo wa hali ya juu. Atasafiri tu na mtapiga kelele.
 
Ni event gani ambayo Tanzania haikuwakilishwa?

Msigwa na genge lake hawana hoja, miaka 8 wanaimba fisadi mwisho wa siku wameishia kudeki barabara!
 
Mbona makamanda mpo kimya. Tujulisheni madini ayatemayo waziri wetu kivuli kamanda Msigwa ili tufajirike. cc: Kibo10
 
Huyu jamaa huwa anaongea vizuri lakini body language na tone yake havijampa heshima bado,
 
Daah!! Aisee Kama Viongozi wetu tunaowapa dhamana ndio hawa kweli tuna safari ndefu. Mh. Msigwa anaongelea mambo ya kidiplomasia utafikiri anazungumzia issue za harakati za siasa!!!!
 
After all, Peter msigwa ni useless lot. Rais kukaa nchini akashughulikia matatizo yetu ni muhimu sana. Foreign relations baadaye. Misaada wanayo tupatia ina masharti ovyo. na haitoki. Mcc K. M. wameisha tafuta visababu uchwara kuchelewesha mkopo wao. Kadiri tutakavyoachana na misaada ya wafadhili, Itakuwa bora sana kwetu. JPM yuko sahihi 100%.
Cdm baada ya kuzika hoja ya ufisadi wanatafuta hoja kuonekana wapo kazini. Msigwa is useless!
Umesema sawa kabisa! Sijui kipi wanachotaka. Waliosema Rais hatakwenda nje ni nani? Ataenda lakini kwa sasa anashughulikia mambo ya ndani kwanza!
 
mchungaji anapenda sana kuonekana kwenye media na anapenda sana sifa na kudharau taaluma za watu huku tamaa ya hela ilimfanya aachie kazi ya uchungaji na kua mwanaharakati bungeni
 
mchungaji anapenda sana kuonekana kwenye media na anapenda sana sifa na kudharau taaluma za watu huku tamaa ya hela ilimfanya aachie kazi ya uchungaji na kua mwanaharakati bungeni
Kwa hiyo Magu alipo acha ualimu na kwenda bungeni ilikuwa ni tamaa ya hela?
Hakuna taaluma ya uanasiasa isiyoambatana na taaluma nyingine. Labda wanasiasa kama Msukuma wasio soma na wafanyayo tuna ona madhara yake, ni ujinga tuu
 
Eeh Mungu aante kumuonyesha Mh. Magufuli njia na matokeo yake anakuwa mkombozi wa waTanzania. Wanaoguswa kimaslahi, majizi na mafisadi yataguswa, Mungu azidi kukupa nguvu Neema na uvumilivu maaana nguc=vu wanayotunmia mafisadi ni hatari sana!
 
Back
Top Bottom