Peter Msigwa: Ikitokea mtu anamtisha Mbunge inabidi tutafute taarifa zake tumpost kwenye mtandao

Anayetishia kuua au anayeua watu ni sawa na mbwa mwitu aliyejiingiza kwenye kundi la binadamu. Ni kosa kubwa kumleana kuishi naye.

Kazi ya usalama wa Taifa ni kutunza usalama wa Taifa na wananchi wake. Wanaoua au kutishia kuua siyo usalama wa Taifa, hao ni mbwa mwitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom