Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Wampost tumjue
Pengine ni kitengo cha surveillance au informer tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cctv hizo zinakuwa managed na Binge na hawawezi kutoa footage hizoHamna CCTV hapo mpaka useme hivi useme vile.
Hawezi kuwa posted sababu hayupo. Zitto alikua atafuta kiki tu baada ya kiki ya CAG kubumba na CAG kujisalimisha kama ambavyo ilitarajiwa na kila mtu mwenye kufikiri mwenyewe.