Peter Msigwa: Ikitokea mtu anamtisha Mbunge inabidi tutafute taarifa zake tumpost kwenye mtandao

Amani ikishapotea kuirudisha inahitajika gharama kubwa sana au inaweza isirudi kabisa.

Sasa ni vyema kuwa makini mno na wanasiasa wa aina hii ambao kwao ni sifa kisiasa kutengeneza matatizo.
Wewe ni bonge la mpuuzi, ulitaka atishiwe kisha anyamaze kwa ajili ya nyie mbulula walamba makalio mtachukia! Fc! Toeli upuuzi wenu nyambafu
 
Back
Top Bottom