Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Ccm wanadharau sn huyu si walimtuma awaambie watz kuwa hata km tutakula nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe? Ccm inajua kutumia vijana wake km condomu walimtuma nape apige goli la mkono alafu walipo mpiga yeye goli hilohilo alilalama weee....du mramba si yupo ukonga duh kwa hyo anyongwe kabisa ama maana hili noma......
Hapo bado hawajamtuma Kassim majaliwa awaahidi waislam kuwa ccm itawaletea mahakama ya kadhi