Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

Kwani utanifanya nini?

Kwani nimevunja sheria?

Peleka upumbavu wako kwa babako, mjusi wahed
Umetoka kuandika kuwa wafuasi wa CDM wana matusi badala ya hoja.
Wewe umefanya kilekile ulichokikosoa, na wewe ni mfuasi wa CDM!!??
 
Katika ukoo wenu hakuwepo,hayupo na hatakuwepo mtu mwenye akili kama kibatala nimesikitika sana eti wewe ndio mwenye upeo kwenye ukoo wenu wa vilaza
 
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini juzi nimestushwa sana na andiko la Wakili ambaye anatajwa kuwa Mweledi sana wa Sheria Wakili Peter Kibatala,kuhusu Kesi ya Ndugu Tundu Antipas Lissu,andiko ambalo alipost kupitia mtandao wa X zamani Twitter!

Katika andiko hilo Wakili Peter Kibatala ameibua hoja kadhaa lakini mimi nataka kumpeleka "Shule" kidogo katika baadhi ya hoja zake ambazo ni wazi amejiingiza "Chaka"yeye na anataka pia kuwaingiza "Chaka" Mabalozi wa nje waliopo Tanzania pamoja na VIONGOZI WA DINI!

HOJA ZAKE KUHUSU KESI YA TUNDU LISSU ZILIKUWA HIZI HAPA👇🏿👇🏿

Anaandika Wakili Peter Kibatala 👇🏿👇🏿

1.Tomorrow 22nd April 2025,I will officially write to the Embassies of Diplomatic Corps in Tanzania inviting their Officers to attend Mr Lissu's case and witness Tanzania justice at play!

Kwa kiswahili rahisi ni kwamba Wakili Kibatala amepanga kuwandikia Mabalozi wa Nje waliopo Nchini Tanzania kuja kusikiliza KESI ya Ndugu Tundu Lissu na kuona jinsi mifumo ya Kutoa Haki ya Tanzania inavyofanya KAZI!

Majibu:
Wakili Peter Kibatala inaonekana hajui kabisa taratibu za Kimawasiliano kati ya Balozi na host Country!

Kikanuni,Raia hana mamlaka wala ruhusa ya kuwasiliana Officially na Balozi yoyote yule bila kupitia Wizara ya Mambo ya NJE na Ushirikiano wa Afrika Mashariki!Chochote atakachoandika Wakili Peter Kibatala kitakuwa hakina maana wala sio Official Communication(Viena Convention on Diplomatic Relations,1961)inaonekana Wakili Peter Kibatala haijui kabisa haya!

Pili,Viena Convention on Diplomatic Relations ya mwaka (1961) "outlines legal framework for Diplomatic mission-(I)termination of Diplomatic Relations"!

Kwa TAFSIRI rahisi ni kwamba Viena Convention kuhusu Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Nchi na Nchi,inaambatanisha majukumu(duties)ya Mabalozi katika Nchi walizopo(Host State).

Wajibu namba moja wa Balozi ni KUHESHIMU Sheria na kanuni za Nchi husika hata wakati wakitekeleza majukumu yao!Pili, Majukumu ya Balozi wa Nje hayapaswi kwa njia yoyote ile kuingilia kabisa mambo ya ndani ya Taifa husika!

Lakini nanukuu hapa"all Official business with the host State should be conducted through the Ministry of Foreign Affairs!Wakili Peter Kibatala aende akasome Viena Convention on Diplomatic Relations 1961,on Persona Non Grata!

Mwisho Wakili Peter Kibatala aende akasome kitu kinaitwa (HGO) kwa maana ya kanuni kwa Mabalozi wanapokuwa ndani ya mipaka ya Host Government!

II.Hoja ya Pili Wakili Peter anaandika👇🏿👇🏿

"I will write also to Heads of all major religion dominations and Institutions to invite for the same cause!

Majibu:
WAKILI Peter Kibatala anataka kuwaingiza Viongozi wa dini kwenye malengo ya kuitisha Mahakama ya Tanzania wakati inafanya majukumu yake!Uwepo Mahakamani wa Viongozi wa dini hauwezi kwa namna yoyote ile kupindisha Sheria za Nchi kwa maana ya kutaka kumsaidia Ndugu Tundu Antipas Lissu apate au asipate haki!Mchezo huu ambao Wakili Peter anataka kuufanya wa kuitisha Mahakama umepitwa na wakati sana!

Ni muhimu Wakili Peter Kibatala angetumia muda wake mwingi kujiandaa kumtetea ndugu Tundu Lissu na kuishawishi Mahakama ya Tanzania kuliko kukimbia jukumu hilo la Kiwakili na kujivika "Uwanaharakati" mbele ya Mahakama hivyo kushusha sana CV yake mbele ya Mahakama ya Tanzania!

Kiongozi yoyote wa dini ambaye atakwenda Mahakamani kisa Ndugu Tundu Antipas Lissu amepelekwa Mahakamani leo atatafsiriwa na Watanzania kuwa tayari ana upande wake na ana maslahi yake katika kesi hii zaidi ya yale ya upatikanaji wa HAKI mbele ya Sheria!

Sina uhakika kama Viongozi wa dini wa Nchi hii wanaweza kufanya "UPUUZI " huu ambao hawajawahi kuufanya wakati wowote wa Uhai wa Kanisa wala Uhai wa Msikiti wa Tanzania!

III.Wakili Peter Kibatala anaadika tena👇🏿👇🏿

" We want Tundu Lissu to be tried in full public view!

Majibu:Tangia lini Wakili Peter Kibatala ameanza kuishinikiza Mahakama ya Tanzania juu ya "modarity" ya kusikiliza kesi?Wakili Peter Kibatala amekuwa na kesi nyingi sana ndani ya Mahakama ya Tanzania lakini hakuna wakati wowote mahali popote amewahi kuishinikiza Mahakama kusikiliza kesi kwa mtindo wa (I) Physical Mahakamani au (II)Mahakama Mtandao ambapo kesi uendeshwa wakati mtuhumiwa yupo Magereza!

Mahakama ya Tanzania inaweza ikaona inafaa kuendesha kesi hiyo kwa mtindo wa Mahakama Mtandao!!Wakili Peter anasema jaribio kama hilo la Mahakama litakumbana na "stiff legal resistance" kutoka kwake na mteja wake!

Itoshe kusema Wakili Peter Kibatala anajua kabisa kuwa jaribio lolote la kuifanya Mahakama kuwa na "pressure" ni KOSA la kimaadili mbele ya taratibu za kiapo cha Mawakili!Anachotaka kukifanya Wakili Peter Kibatala sio tu ni ukosefu wa Maadili ya Uwakili na heshima kwa Mahakama zetu bali pia ni KOSA la Kimaadili kushinikiza/kushawishi Ushiriki wa watu waje Mahakamani

Sifa/heshima za Wakili Peter Kibatala zimeingia doa kubwa mbele ya macho ya Watanzania!

Ngoja tuone kama Mabalozi na Viongozi wa dini "watacomply" na "UNYAMBISI"huu wa viwango vya juu kabisa!
Naona umejaza MBONJI kunako kichwa 🤣🤣🤣🤣
 
Tungekuwa na Rais strong km Magufuli kwenye mazingira km haya huyo mbwa Kibatala ni kumfutia cheti cha uwakili atulize hayo makalio. Kibatala ndio mshauri mkuu wa huyo kibaraka Lissu kufanya uhaini kwamba wao wako nyuma yake. Kibatala ni mavi gani nchi hii labda km siyo Tanzania ninayoifahamu. Kibatala anachofanya ni zaidi ya uhaini, hao ni vibaraka wanataka kutuharibia nchi yetu. Samia ajifanye mstaarabu nyundo atakayopigwa hataiasahau. Ajifunze kwa Mbowe.
 
Hongera mkuu umetimiza wajibu wako, viongozi wa serikali wafuatilie mwenendo wa huyo Kibatala km vp afungiwe uwakili, serikali isicheke na hao kima
 
Tungekuwa na Rais strong km Magufuli kwenye mazingira km haya huyo mbwa Kibatala ni kumfutia cheti cha uwakili atulize hayo makalio. Kibatala ndio mshauri mkuu wa huyo kibaraka Lissu kufanya uhaini kwamba wao wako nyuma yake. Kibatala ni mavi gani nchi hii labda km siyo Tanzania ninayoifahamu. Kibatala anachofanya ni zaidi ya uhaini, hao ni vibaraka wanataka kutuharibia nchi yetu. Samia ajifanye mstaarabu nyundo atakayopigwa hataiasahau. Ajifunze kwa Mbowe.
Kama kawaida ya akili ya mtu mweusi, kila kitu anajua ni manguvu tu yanatumika, sikulamu ni jadi yetu kama wanyamapori tu!
 
Umetoka kuandika kuwa wafuasi wa CDM wana matusi badala ya hoja.
Wewe umefanya kilekile ulichokikosoa, na wewe ni mfuasi wa CDM!!??
Kwani nimedanganya Mkuu?

Ukija na matusi, unapata matusi. Point period blank

Ukileta kunya nakunyea tu

Situkani mtu yeyote yule anaekuja na hoja, hata kama ni ya Kijinga.

Uniparamie tu nikuache, sio mimi.
 
Hakikaaa !
 
Wewe ndiyo umekurupuka; halafu inaonekana upo learned, sasa mbona hapo ni rahisi sana?
Kibatala siyo Diplomat, ni citizen, anamuwakilisha Tundu Lissu, na katumwa afanye hivyo na anafanya baada ya kuona hilo suala limo mikononi mwake na uwezo wake. Kibatala Esq is a learned man, lazima kajiridhisha.
Ni kweli Diplomat hawezi kukurupuka kuenda kutafuta citizen au office yoyote bila kibali cha host country.

Maswala yote ya sheria Diplomat hawezi kuingilia, lakini kwa kibali, Lawyer hana hiyo mipaka.
Mkuu ni hivi mambo ya Rasmi ya Kiserikali ndio yanapaswa kupelekwa ubalozini kupitia Wizara ya Mambo ya Nje .
Ila kama sio masuala rasmi ya Kiserikali mtu yeyote anawasiliana na Ubalozi na ubalozi unalifanyia kazi kadri itakavyoona inafaa.
Hizi NGO zinazofanya kazi na Balozi mbalimbali hazipitishi mawasiliano yao Wizara ya Mambo ya Nje .
Na nyingine nyingi zinafadhiliwa bila hata Serikali kufahamu . Labda hadi hapo zitakapopeleka report kwa msajili wa asasi ndio anaweza kuona kwamba walipata fedha kutoka wapi kwa miradi gani
 
Mtu mwenye akili timamu unakijiita chawa, kweli Africa nyeusi haitakaa ing'oe nanga.
Hawana akili timamu hao wajinga wapuuzi wazazi wao walizaa takataka ambazo hazijitambui.
Eti chawa mwandamizi. Pumbavu zake
 
Back
Top Bottom