Peter Kibatala: Kanuni za uchaguzi TLS zinaruhusu mgombea kuchaguliwa/kupigiwa kura hata kama hayupo

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala
Kanuni za Uchaguzi TLS zinaruhusu Mgombea kuchaguliwa/kupigiwa kura hata kama hayupo ukumbini wakati wa Uchaguzi/kupiga kura.

Kuna precedent pia katika chaguzi katika ngazi za chapters mbalimbali hivi karibuni; ambapo wagombea walipigiwa kura licha ya kutokuwepo ukumbini wakati wa uchaguzi/kupiga kura.

Sisi ni Wanasheria na tuna jukumu la kuzitumia sheria na kanuni zetu za Uchaguzi katika namna itakayosaidia kutatua matatizo kama ya kukamatwa kwa Antipas Tundu Lissu Mughwai anayegombea nafasi ya Rais wa TLS.

Kukamatwa kwake Tundu Lissu hakuzuii yeye kupigiwa kura na kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS.

Wanasheria mnaopanga kuja Arusha mje kwa wingi wenu kama mlivyopanga, na tushirikiane kuhakikisha Uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu kama ilivyo ada yetu Wanasheria. Case iliyofunguliwa na Bw. Onesmo Mpinzile vs TLS na AG kuhusiana na Uchaguzi huu imetupwa leo na Panel ya 3Judges .Kama mlivyosikia
VOTE FOR TUNDU LISSU
 
KANUNI ZIPI? SI MWENZENU WASONGA ALISEMA HAMNA KANUNI KWA SABABU RIWAYA ILIYOTUNGWA NA CHARLES RWECHUNGURA INASEMEKANA HAIWEZI KUITWA KANUNI KWA SABABU HAKUWA NA MAMLAKA YA KUTUNGA WALA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE KUWA ALIKASIMIWA KISHERIA KUTUNGA KANUNI HIZO?
 
Wasiwasi wangu ni kuwa wakubwa wanaweza kumshikilia hadi uchaguzi uishe. Wakiona kashinda wanamfunga mwaka mmoja hadi uongozi wake uishe. Si nguvu wanazo bana? Anything can happen jameni!
 
KANUNI ZIPI? SI MWENZENU WASONGA ALISEMA HAMNA KANUNI KWA SABABU RIWAYA ILIYOTUNGWA NA CHARLES RWECHUNGURA INASEMEKANA HAIWEZI KUITWA KANUNI KWA SABABU HAKUWA NA MAMLAKA YA KUTUNGA WALA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE KUWA ALIKASIMIWA KISHERIA KUTUNGA KANUNI HIZO?

Ameshashindwa na kesi yake imetupwa kapuni anatakiwa kuwalipa TLS na akina Lissu na muda huu ni mgonjwa anaugulia maumivu ya kuingizwa mkenge na CCM
 
KANUNI ZIPI? SI MWENZENU WASONGA ALISEMA HAMNA KANUNI KWA SABABU RIWAYA ILIYOTUNGWA NA CHARLES RWECHUNGURA INASEMEKANA HAIWEZI KUITWA KANUNI KWA SABABU HAKUWA NA MAMLAKA YA KUTUNGA WALA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE KUWA ALIKASIMIWA KISHERIA KUTUNGA KANUNI HIZO?

Shauri la Godfrey Wasonga dhidi ya TLS na AG lafutwa na aamrishwa na mahakama kulipa gharama za kesi.....
 
KANUNI ZIPI? SI MWENZENU WASONGA ALISEMA HAMNA KANUNI KWA SABABU RIWAYA ILIYOTUNGWA NA CHARLES RWECHUNGURA INASEMEKANA HAIWEZI KUITWA KANUNI KWA SABABU HAKUWA NA MAMLAKA YA KUTUNGA WALA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE KUWA ALIKASIMIWA KISHERIA KUTUNGA KANUNI HIZO?
Unaweza kwenda fasta kukata rufaa kabla ya kesho?
 
Inawezekana Serikali bila kujijua inafanya kazi ya kufukuza upepo.

Inapaswa imuunganishe kibatara kwenye hii kamatakamata kama ina nia ya dhati kumdhoofisha Lisu.

Sababu ni wazi Kibatala kuwa uraiani inakua ni swala la muda tu kwa lissu kuwa uraiani kila wanapomkamata.

Ama sivyo mbona manji amekaa ndani muda wa mrefu sana bila kutoka kwa namna ya kuidharirisha serikali.
 
Back
Top Bottom