princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
- Thread starter
-
- #61
heheheh kama ananipenda atajifunza kuendesha,mbona kuendesha baiskeli ni kama zoezi la kumaintain figurehahahahhahhh!! c mbaka aweze kuiendesha!! na akiwa sister duh!! ndo utarudshiwa uendeshe mwenyewe!! lolest!!
mie ukinkubalia utachagua mwenyewe bibie, mradi uezo na uhai viwepo.lolzmambo!
mara nyingi waschana huwa tunavikwa pete wakati wa engagement!! sasa endapo itatakiwa mvulana umpe mschana ktu kingine tofauti na pete!! je utampa nini mschana!!?? na endapo mschana itakuwa ni lazima umpe mvlana zawadi baadaya kuvshwa pete au kupewa mbadala wa pete!! utampa zawadi gani!!?? this is for all!!
hapa kuna aina kama kama 10 hivi ila ukiuliza utaambiwa supa ya mby. ndo mjini hapa umeona eeh! kuna mixed grill hii unaweka mchanganyiko maguu lower msh, na japan ya AR, kuna wa mby kyela na kuna makundi kienyeji yenyewe na dihybrid. kuna ifakara wa aina 3 wenye aroma na unaovumba na punje dongo. pia kuna singida na tbr shy huu ni wa aina moja so sema wewe wataka upi?huo mchele unaotaka kuniuzia ni mchele wa wapi?
haya bibie uje uchague!! teh teh teh!!! lolestmie ukinkubalia utachagua mwenyewe bibie, mradi uezo na uhai viwepo.lolz
we ilivyo kazi kumaintain figure usinkumbushe maana mim nshakata tamaa!! loheheheh kama ananipenda atajifunza kuendesha,mbona kuendesha baiskeli ni kama zoezi la kumaintain figure
mh..we mtata sana ..mbona warusha mpira tena?haya bibie uje uchague!! teh teh teh!!! lolest
Na inasemwa pia amnyimae mwenzi wake joto la usiku amefanya ukatili mkubwa
Mie nakutaka wewe.
kakimbiaje sasa!! we Young_Master njoo upigwe tattoo huku!!
hapa kuna aina kama kama 10 hivi ila ukiuliza utaambiwa supa ya mby. ndo mjini hapa umeona eeh! kuna mixed grill hii unaweka mchanganyiko maguu lower msh, na japan ya AR, kuna wa mby kyela na kuna makundi kienyeji yenyewe na dihybrid. kuna ifakara wa aina 3 wenye aroma na unaovumba na punje dongo. pia kuna singida na tbr shy huu ni wa aina moja so sema wewe wataka upi?
heeeeeh!! mi ndio bibie kumbe!!!!!!!????????mh..we mtata sana ..mbona warusha mpira tena?
so unanirudisha msimbazi center ama. manake sikusomi kabisa. hlafu unaroho mbaya sana nakukaribisha uanuchuna lol!
kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeli ckijui!!!Nimekataa ng'oo! Kua unachokiuliza hukijui !
Hebu apia kama kweli hujui !