MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,240
- 3,973
Maana nimejiuliza isije ikawa mtumishi anataka achukue kabisa tithe kabla haijachenjuliwa!Sorry! Mahari inalipwa nyumbani, hilo tukio la kuvishana pete ndio linafanyika kanisani.
Ukishalipwa mnaenda ibadani kumvisha hiyo pete.
Hivi ndivyo ninavyojua mimi.
Hakuna uchumba kama bado mahari haijalipwa.