luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,802
N
Kasinde vip maana alivyokufagilia kwenye uzi.fulan sio mchezo
Kasinde vip maana alivyokufagilia kwenye uzi.fulan sio mchezo
Kasinde vip maana alivyokufagilia kwenye uzi.fulan sio mchezo
Fursaevent planner nipo hapa nione pm
Ntaona bora hata kuna mtu anajihalalishia kuosha runguWe mwanao akija na pete mkononi akakwambia "I am engaged" wakati mtu wake hajafika nyumbani kugonga hodi, utajisikiaje?
hahaha nokia bhanaFursa
Unaweza kupanga event ya kuachwa mtu?!hahaha nokia bhana
pesa yako tu hakuna kinachoshindikana chini ya juaUnaweza kupanga event ya kuachwa mtu?!
Mahari inalipwa ndani ya nyumba ya ibada! Hii ni kiboko!Pete mvishe siku ya kulipa mahari.
Tukio linafanyika ndani ya nyumba ya ibada mbele ya viongozi wa dini.
Ndugu na watu wengine wanakuwepo.
Kumbuka uchumba unaanza pale unapokuwa umeshalipa mahari.
Sh ngap kupanga matukio ya namna hiyopesa yako tu hakuna kinachoshindikana chini ya jua
utatoa kwanza 20k kwa ajiri ya muhtasari jinsi tukio lako litakavyokuwaSh ngap kupanga matukio ya namna hiyo
Sawautatoa kwanza 20k kwa ajiri ya muhtasari jinsi tukio lako litakavyokuwa
Unarudi mahala pako naonakawaida tu
Hivi nyie wahenga mnakaaga mahala gani?event planner nipo hapa nione pm
Sorry! Mahari inalipwa nyumbani, hilo tukio la kuvishana pete ndio linafanyika kanisani.Mahari inalipwa ndani ya nyumba ya ibada! Hii ni kiboko!