BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
SonaraWadau,
Naomba kufahamu kwa hapo Dar nitapata wapi pete ya Tanzanite kwa bei nzuri tofauti na sehem wanazouza milioni mbili/ tatu?
Thanks
Mcheck Prof. MuhongoWadau,
Naomba kufahamu kwa hapo Dar nitapata wapi pete ya Tanzanite kwa bei nzuri tofauti na sehem wanazouza milioni mbili/ tatu?
Thanks
Ndiyo maana nakupenda kaka yangu huwaga uubahatishi .Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?
UNAENDA KUMVISHA HUYU SITAKI NATAKA ULIYEMPA MIMBA AU
Naenda kuonana na "SITAKI, NATAKA"
Mmh Dada yangu we noma...we si mwenyeji wa Dar muelekeze jamaa..we si umeniacha huku mkoani na familia??Ndiyo maana nakupenda kaka yangu huwaga uubahatishi .
Hahaha kaka nitake radhi bhanaa kwani nikiwa mwenyeji ndiyoo nitakuwa mwenyeji hadi kwa masonaraMmh Dada yangu we noma...we si mwenyeji wa Dar muelekeze jamaa..we si umeniacha huku mkoani na familia??
Yaani namaanisha masonara unaowajua ndio umuelekezeHahaha kaka nitake radhi bhanaa kwani nikiwa mwenyeji ndiyoo nitakuwa mwenyeji hadi kwa masonara
Kaka mm hata masikio sijatoga Huyo Sonara nampata wapiYaani namaanisha masonara unaowajua ndio umuelekeze
aseeh haya sawa Dada angu cha ubishiiKaka mm hata masikio sijatoga Huyo Sonara nampata wapi
[emoji34] mm chaubishi eee sawa[emoji16]aseeh haya sawa Dada angu cha ubishii
Teh teh teh...Yaishe[emoji34] mm chaubishi eee sawa[emoji16]