Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,481
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu, mimi siuzi hizi stone zipo online yani mtandaoni unaweza kuagiza huko sio kwamba nauza elewa hiloMm zikija awamu nyingine ntakutafuta,,,
Ila ziwe ndogo zaidi,,,yani hilo jiwe liwe dogo la kiana sio kubwa sana,,
Pamoja sana mkuu rakims,,
Rakims