ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ujumbe mzuri tatizo kuna baadhi ya wanaume huonesha nia ya kufunga ndoa huku moyoni wanajua hawamaanishi wapo wengi sana wa hivyo, binafsi mtu akianza kuongelea ndoa mwanzoni huwa namwambia live asitumie ndoa kama njia ya kunipata na inakuwa rahisi kwangu kumkataa but baadhi yetu wadada wakitajiwa ndoa huwa wanachanganyikiwa na baadae wekibwagwa wanabaki na maumivu.
Kweli aisee! Ila nnaswali inamana 2kae mguu ndani mguu nje ama?
uyaongeayo best ni kwelli kabisa ni kama tumepumbazwa kiini macho sie wadada na wala tunawaamini sana tena kwa 100% kumbe ni matapeli wa mapenzi hawa ni watu w aajabu tena wanashangaza sana tuwe macho nao
^^
Tena ni kheri hao wenzangu wanaweza kuwapa hizo pete, mi ndo kabisaa tegemeo hilo halipo kwenye ratiba,mi sio mzuri kwa kweli, yaani hata sijui nina nini mie Himidini !!
^^
Uuh maneno mazito but so tru...naona kwa life la ckuiz mwanamke SHARTI UWE MJANJA KULINDA MOYO WAKO,usiwe taken for granted kirahisi rahisi,..yn hzo stori hapo juu zinanihimiza tu I SHOULD HAVE OPTIONS,ht km likitokea lolote majuto yasiwe kivileee...loh,kwa kudanganyiwa ndoa wanajua watatupata nishawastukia men wa ckuiz
sanaa tena wanaokuja na mipango ya ndoa mwanzoni ni wabaya zaidi watu hamjuani lakini anajifanya yeye ana nia ya kukuoa cha ajabu anaanza kuomba tendo la ndoa kabla ya ndoa na ukimpa ndio basi umekwisha
Linda sana moyo wako kiliko vyote ulindavyo; maana ndimo zitokapo chemchemi za uzima.
Uuh maneno mazito but so tru...naona kwa life la ckuiz mwanamke SHARTI UWE MJANJA KULINDA MOYO WAKO,usiwe taken for granted kirahisi rahisi,..yn hzo stori hapo juu zinanihimiza tu I SHOULD HAVE OPTIONS,ht km likitokea lolote majuto yasiwe kivileee...loh,kwa kudanganyiwa ndoa wanajua watatupata nishawastukia men wa ckuiz
Cousin umenena vyema... Ila wanaume hawa Mwenyezi Mungu awarehemu.
Nina mifano hai ya mahusiano mawili. Wa kwanza alikana kabisa kuwa kaachana na alitekuwa girlfriend wake kwa ushahidi wa kumpigia huyo X ili bidada ajiridhishe kuwa wameachana. Unajua nini kilitokea, bidada alipigwa chini na X aliolewa. Unadhani huyo mwanaume alikuwa hajui anachokifanya mpaka akadate na bidada???
Uhusiano mwingine ambao nauonea huruma hasa katika upande wa mdada. Jamaa ana mchumba na vikao vimeshaanza ila ana mahuasino na bidada mwingine ambapo bidada anaamini yeye ndiye ataolewa siku zijazo. Mwanaume kimyaaa anajisevia kiulainiii....
Ni huruma aisee!!! Wanaume......... Nimewanyanyulia mikono....
Ha haaaa I like it mtoa somo imenigusa sanaaa, mm kuna alienitongoza muda wa mwezi hata cjamkubalia kaja na e
Pete anataka kuni engage nikakataaa coz nilikuwa namhofia toka siku ya kwanza kutokana na tunaishi mikoa tofauti akajua ni ngumu kumfatilia bt nilicheki na marafiki zake fb bila yy kujua nikagundua anamke tena wa ndoa na mtoto, nilimshangaza kumweleza kila kitu juu yake ba
Hadi namba ya mkewe nilimtajia ilibidi aniombe msamaha bt alijitetea kuwa wanawake wengi twapenda kuolewa so bila kuniambia hivyo asingenipata na alikuwa tayari 4anycost ili anipate na uhusiano uliishia pale pale bt amekuwa rafiki mkubwa kwangu nimejifunza mengi kupitia kwake nami pia nimempa ushauri umemsaidia