problem number one ni kwamba wewe unaamini kuwa kuoa mpaka umpende mwanamke. mie naoa nipate pakupunguzia minyege yangu wakati bado demu naemsaka anapiga chenga bwana wewe.
Too sentimental au sio?that is an hypothetical situation to which the circumstance that shall prevail are unknown
Kinachokusudiwa Mapenzi yako kwake yasiathiri maamuzi. Yaani isifikie hatua eti huwezi kumuadhibu kwa vile unampenda. Mpende kwa akili siyo moyo.
Mkuu mbona unanivuluga wakati.mi nishampangia nyumba nimempa mtaji na nataka kumjengea saa hii alafu kumbuka ni mchepuko tu aiseeNever invest in woman.. I repeat it never except ya mama
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk