PESTANA PUB, East Zu, Based on true story!

PESTANA PUB, East Zu, Based on true story!

Umeoa nyumbani?
Yeah nimeoa nyumbani ndiyo,kuna watu nimeshuhudia yaliyowakuta ni yanatisha but siyo kwamba kuowa kwenu ndo maisha umeyamaliza unaweza kuowa kwenu pia mziki ukawa ni ule ule japo huwa kunapunguza sana purukushani za kumsoma uliyenaye coz unajikuta upo na mmoja ya jamii ile ile uliyoizoea tofauti na kwenu Mbeya ukaokote Chinga Mtwala hadi uzijue vizuri tabia zake jasho litakuwa limeshakutoka.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Yeah nimeoa nyumbani ndiyo,kuna watu nimeshuhudia yaliyowakuta ni yanatisha but siyo kwamba kuowa kwenu ndo maisha umeyamaliza unaweza kuowa kwenu pia mziki ukawa ni ule ule japo huwa kunapunguza sana purukushani za kumsoma uliyenaye coz unajikuta upo na mmoja ya jamii ile ile aliyoizoea tofauti na kwenu Mbeya ukaokote Chinga Mtwala hadi uzijue vizuri tabia zake jasho litakuwa limeshakutoka.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Jibu zuri, ila ndiyo hivyo mkuu kwa huu mchanyato tulionao leo, ndoa ni kama pata potea tu.
 
hapo umeongea mwanawane. mama pekee ndio wakumjali mke wee mpe makavu live, hapa tupo kiburudani zaidi hutaki funga vilago naingiza mwengine. at no point should a wife feel she is the one and only. lazima ajue kuwa anytime anaweza fungishwa vilago na kimodel kikachukua nafasi
Duuu hapana huwezi mwambia mkeo eti hapa tupo kistarehe tu,ukishamwambia tu hivo ujue umeruhusu Uhuru mikasi. Kwanza sijajua dini yako manake kwa MF kuna basdhi ya madhehebu ya wakristo hyo kupiga chini na kuvuta mwingine haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah nimeoa nyumbani ndiyo,kuna watu nimeshuhudia yaliyowakuta ni yanatisha but siyo kwamba kuowa kwenu ndo maisha umeyamaliza unaweza kuowa kwenu pia mziki ukawa ni ule ule japo huwa kunapunguza sana purukushani za kumsoma uliyenaye coz unajikuta upo na mmoja ya jamii ile ile aliyoizoea tofauti na kwenu Mbeya ukaokote Chinga Mtwala hadi uzijue vizuri tabia zake jasho litakuwa limeshakutoka.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
kwa mazingira ya sasa hilo ni gumu sana maana mchanganyiko ni mkubwa sana.
 
hapo umeongea mwanawane. mama pekee ndio wakumjali mke wee mpe makavu live, hapa tupo kiburudani zaidi hutaki funga vilago naingiza mwengine. at no point should a wife feel she is the one and only. lazima ajue kuwa anytime anaweza fungishwa vilago na kimodel kikachukua nafasi
Na baba zetu wange wafungasha virago kabla hatujazaliwa ingekuwaje?
 
Hiyo story ina dalili nyingi za kuwa Fekero, huyo maisha kaharibu mwenyewe, asisingizie mtu.

Kwamba aliwekewa unga kwenye sigara! Kwanza kwa nini kuvuta sigara in the first place?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mazingira ya sasa hilo ni gumu sana maana mchanganyiko ni mkubwa sana.
Mchanganyiko ni mkubwa ndiyo ila inabidi kwenda kwa step,lazima muowaji ujue unaemuowa ndiyo nafsi ya pili baada ya nafsi yako utakayokutana nayo baada ya kuamka kutoka usingizini hapo kitandani mwako usiowe kwa kuangalia tu huyu ana shape nzuri sijui rangi ya kuvutia.

Ujue huyu akiwa m'bovu na wewe amekutia ubovu so tuende taratibu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Inaumiza na inaumiza zaidi wewe hujamsaidia.

Tafadhali wasiliana na mliosoma wote mjue mnamsaidiaje, huyo jamaa akinyanyuka atakuwa mtu bora zaidi.

Maisha yana ups and down mengi sana, teja akipata sapoti ya familia na marafiki anaacha kabisa nimeona watu wawili ninawaojua.

Tafadhali naomba shirikisha wenzako wewe ndo uwe chachu ya mabadiliko.
 
Huyu atakuwa alikuwa anavuta bangi ndo inachanganywa masigara, unga na inafungwa na marizla embasy utawekewaje unga?

All in all msaidie mwenzako.
 
Back
Top Bottom