Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Hivi hakuna mamlaka zinazosimamia mabenki nchini ili kama kuna tatizo mtu aweze kufuatilia, kikubwa ni kufuatilia bank yako ikishindikana nadhani bank kuu watahusika. shukrani mkuu nimeshapata receipt ya money transfer jumatatu naelekea tena bank kujua hatma
Nje ya topic, wenzetu wanajua kufanya biashara aisee yaani mtu una kablog kako lakini wanakuingizia hela, ingekuwa ndio sisi ngzi nyeusi kwanza unaambiwa hujakidhi vigezo na mambo kibao ya kiswahili
shukrani mkuu nimeshapata receipt ya money transfer jumatatu naelekea tena bank kujua hatmaHivi hakuna mamlaka zinazosimamia mabenki nchini ili kama kuna tatizo mtu aweze kufuatilia, kikubwa ni kufuatilia bank yako ikishindikana nadhani bank kuu watahusika.
Nje ya topic, wenzetu wanajua kufanya biashara aisee yaani mtu una kablog kako lakini wanakuingizia hela, ingekuwa ndio sisi ngzi nyeusi kwanza unaambiwa hujakidhi vigezo na mambo kibao ya kiswahili
Shukrani kwa ushauri wako mkuuYan apo ongea na benk vzr inawezekana hela imefloat cha msingi ongea nao vzr
shukrani mkuu kuhusu Western Union sina ujuzi nayo hata kidogo nidadavulie kidogo jina ninalotumia katika akaunti yangu ndio hilo hilo lililopo katika kitambulisho changu cha kuraPole sana mkuu, adsense hutuma pesa kwanzia tarehe 21 ya kila mwezi hii ni kama umefikisha U$D 100. Mfano kama ulianza kufanya kazi kwanzi tarehe 1 mwezi wa 8 hadi tarehe 31 mwezi wa 8 ulitakiwa uwe umepata pesa yako kwanzia tarehe 22 ya mwezi wa 9. Vilevile kama ulifanya kazi mwezi wa 9 pesa yako utapata kwanzia tarehe 22 mwezi wa 10 na kama unafanya kazi mwezi huu wa 10 utatoa pesa mwezi wa 11 kwanzia tar 22.
.
Kuhusu tatizo lako, jaribu kuwasiliana na benki( face to face) na google adsense( tumia email) wataona cha kukusaidia.
.
USHAURI
Mkuu jaribu kubadilisha payment method, Tumia WESTERN UNION ila lazima uwe na kitambulisho ( eg Kitambulisho cha mpiga kura au driving license) chenye jina sawa na ulilotumia kwenye ADSENSE ACCOUNT.
ahsante kwa ushauri wako mkuuNENDA NA INFORMATION ZAKO ZINAZOONYESHA UMETUMIWA HELA PALE BOT.WAO WANAJUA KU-TRACE MTU ALIYECHUKUA NA ALIYETOA KAMA ZILITUMWA
shukrani mkuu kuhusu Western Union sina ujuzi nayo hata kidogo nidadavulie kidogo jina ninalotumia katika akaunti yangu ndio hilo hilo lililopo katika kitambulisho changu cha kura