April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,405
- 2,162
Kuna mshikaji wangu mmoja kanipa story hizi pesa za hao viumbe wasio onekana kama.majini n.k nowdays ndo zinawapa watu maisha.
Najuwa humu kuna wajuzi wa mambo ebu mimi na wengineo tusio elewa tunaomba kueleweshwa,,,je ni kweli na baada ya faida hazina hasara na hasara ni ya aina gani?
Ni nini kibaya cha hizo pesa ?
Na utamjuaje mtaalamu mkweli ?
Ahsante!