Tupe takwimu Zanzibar walichangia kiasi gani ili tuone kama ni sahihi kugawana 50 Kwa 50.Hizi pesa no za sherehe ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar,sherehe imeahirishwa,cha ajabu pesa zote zimepelekwa mwanza,Tanganyika,tunataka bara ichukue nusu,Zanzibar nusu kwa kuwa wamiliki wa pesa hizo ni Pande mbili za muungano
Zanzibar ina haki,haiwezekani pesa ya muungano itumike kufanya jambo lisilo la kimuungano kwa kujenga barabara mwanza,bora lingechaguliwa jambo lolote ambalo ni kero ya muungano na pesa hizo zikatumika kutatua,barabara si suala la muungano,tunadai Zanzibar ipate nusu na Tanganyika ipate nusu ya pesa za sherehe iliyoahirishwa
Nini chanzo cha pesa hizo? Zilitoka Bara au visiwani? Zilichangwa nusu kwa nusu kwa maana Zenji 50% na Bara 50%? Kama jibu ni hilo la mwisho basi zigawanywe sawa, lakini kama zote Zilitoka Zenji zote zirudi huko na kama Zilitoka Bara zote zirudi Bara kuepusha unyonyaji....wengine wafanye kazi wengine wale maana yake nini? Hapo ndiyo mtakapotambua umuhimu wa kujikomba bara Tena kwa ccmZanzibar ina haki,haiwezekani pesa ya muungano itumike kufanya jambo lisilo la kimuungano kwa kujenga barabara mwanza,bora lingechaguliwa jambo lolote ambalo ni kero ya muungano na pesa hizo zikatumika kutatua,barabara si suala la muungano,tunadai Zanzibar ipate nusu na Tanganyika ipate nusu ya pesa za sherehe iliyoahirishwa
Haya mtapewa hiyo 50% mtengenezee urojoPesa za sherehe ya muungano ni Mali ya jamhuri ya muungano,wanzanzibari hatukubali kuonewa na kudhulimiwa,hata sisi tuna barabara mbovu
Zanzibar ina haki,haiwezekani pesa ya muungano itumike kufanya jambo lisilo la kimuungano kwa kujenga barabara mwanza,bora lingechaguliwa jambo lolote ambalo ni kero ya muungano na pesa hizo zikatumika kutatua,barabara si suala la muungano,tunadai Zanzibar ipate nusu na Tanganyika ipate nusu ya pesa za sherehe iliyoahirishwa
Hizi pesa no za sherehe ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar,sherehe imeahirishwa,cha ajabu pesa zote zimepelekwa mwanza,Tanganyika,tunataka bara ichukue nusu,Zanzibar nusu kwa kuwa wamiliki wa pesa hizo ni Pande mbili za muungano
Walichangia kiasi gani? Jibu hilo swali kwanza.Mnajitoa ufahamu? Hiyo sio sherehe ya Uhuru wa Tanganyika,wanzanzibari wana kila haki ya kupata sehemu ya pesa hizo