MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Hivi ni kwanini tusiwe wawazi kiusema kua tumetumia pesa hizo tukekeleza ilani ya Chama ili 2020 tusiumbuke? Maana nimesikia mpaka habari ya kukunulia ndege kwenye habari za Michango ya Kagera.
Tuambizane ukweli japo wanamchi wameshalifahamu hilo, Tukumbuke kua tuliambiwa kwamba kama kuna mtu anaguswa na suala la ndugu yake kulala nje na kukosa Chakula atume chochote. Sasa hicho chochote huyu aliyelala nje kingemfikiaje? Mungu pekee haya mambo anayaona.