Kwani wewe umeona noah nyingi mtaani?Naombe nisiwachoshe!!
Nakumbuka magufuli alizuia makinikia yasitoke nje, na wakawaita wezi na TRA wakaenda mbali zaidi na kusema tunawadai MATRILIONI ya pesa!!
Na kuna kiongozi akasema pesa inayodaiwa inaweza kumnunulia kila mtanzania NOAH.
Mimi nauliza... Je, pesa za makinikia zimelipwa? Na kama zimelipwa mbona hatupewi updates, mbona press conference za makinikia haziitwi kama wakati ule??
Au zimelipwa "zikapigwa JIWE"?
Nawasilisha hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
HeheheH
ahahhahahaha umenikumbusha ka post ka Mkolomije eti subra yavuta heri
😂😂subira mkuu sio ungaUnavuta tena jamaa yangu?
Vita ya madawa haitakuacha saalam najwambia!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungekua hatuyategemei basi magufuli asingeenda kuyakamata.Mtegemea cha makinikia hufa masikini.
Soma vizuri post yangu acha kukurupuka kama panya aliyekimbizwa kutoka uvunguni!!
Kiongozi mkuu kichaaaaaa,kondoo huongozwa na mbuzi muache huyohivi kwanini ukiwa CCM unaacha kufikiri kwa kutumia ubongo? mtu anahoji suala la msingi kabisa unakuja kutuletea upoyoyo wako hapa. tatizo ukiwa CCM unaanza kufikiri kwa kutumia matundu mbali mbali yaliyopo mwilini mwako, hilo ndo litawaangamiza, hayo matundu ni kwa ajili ya kutolea uchafu.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!. da! aisee hii kali mkuu!Wangetumia tu busara hao 'wanaume' waturudishie hata hasara tuliyopoteza kwenda kusomea udereva, mana kila mtanzania alikua na uhakika wa noah, sasa watu tuna leseni wakati hata baiskeli hatuna.
Noah zetu bana, ni mwaka sasa unakatika and no sign of Noah! Ina maana hata kile kishika uchumba bado nikaanze kununua fire extinguisher pamoja na triangle kwa ajili ya Noah zetu?Akili za kichadema hizi unahoji makinikia ili iweje?
Upeo wako ni mdogo sana kuhoji mambo ya kitaifa ,hoji kwanza ruzuku ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app