Pesa za makinikia zimefikia wapi? "wanaume" walilipa?

Pesa za makinikia zimefikia wapi? "wanaume" walilipa?

Akili za kichadema hizi unahoji makinikia ili iweje?

Upeo wako ni mdogo sana kuhoji mambo ya kitaifa ,hoji kwanza ruzuku ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha mkibanwa kende mnaleta siasa za uchama,kipindi kile wakati mnajionyesha kwenye Makamera Kwa mbwembwe mlidhani hatutaulizia mrejesho wake sio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kwanini ukiwa CCM unaacha kufikiri kwa kutumia ubongo? mtu anahoji suala la msingi kabisa unakuja kutuletea upoyoyo wako hapa. tatizo ukiwa CCM unaanza kufikiri kwa kutumia matundu mbali mbali yaliyopo mwilini mwako, hilo ndo litawaangamiza, hayo matundu ni kwa ajili ya kutolea uchafu.
Ukiwa CCM ya sasa unatakiwa uwe zezeta ili umpigie debe chizi mana ukiwa na akili timanu uta mng' amua kuwa chizi , utamkatalia.
 
Akili za kichadema hizi unahoji makinikia ili iweje?

Upeo wako ni mdogo sana kuhoji mambo ya kitaifa ,hoji kwanza ruzuku ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama watu hawaruhusiwi kuhoji mambo ya Kitaifa sasa wahoji yapi
Kama mambo ya Ruzuku ashaachiwa mbowe afanye yske
Lakini makinikia nihaki kuhoji tuliambia hapa kwa mbwembwe zote kuwa sasa nchi inakwenda kupata hela mpaka tutanunuliwa Noah
Wakati munalazimisha watu wamsifie mkulu kumbukeni nahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombe nisiwachoshe!!

Nakumbuka magufuli alizuia makinikia yasitoke nje, na wakawaita wezi na TRA wakaenda mbali zaidi na kusema tunawadai MATRILIONI ya pesa!!

Na kuna kiongozi akasema pesa inayodaiwa inaweza kumnunulia kila mtanzania NOAH.

Mimi nauliza... Je, pesa za makinikia zimelipwa? Na kama zimelipwa mbona hatupewi updates, mbona press conference za makinikia haziitwi kama wakati ule??

Au zimelipwa "zikapigwa JIWE"?

Nawasilisha hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliza kwanza yale makinikia bado yapo pale bandarini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom