Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,766
Naombe nisiwachoshe!!
Nakumbuka magufuli alizuia makinikia yasitoke nje, na wakawaita wezi na TRA wakaenda mbali zaidi na kusema tunawadai MATRILIONI ya pesa!!
Na kuna kiongozi akasema pesa inayodaiwa inaweza kumnunulia kila mtanzania NOAH.
Mimi nauliza... Je, pesa za makinikia zimelipwa? Na kama zimelipwa mbona hatupewi updates, mbona press conference za makinikia haziitwi kama wakati ule??
Au zimelipwa "zikapigwa JIWE"?
Nawasilisha hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app