Pesa za kifisadi zilizofichwa Uswisi-Geneva

Tumbua

Member
Nov 29, 2015
43
10
Wana-Fb pole na kazi.

Nimeamua kuja na suala la fedha zilizowahi kutajwa na Mh. Zitto kuwa zimefichwa kwenye benki za SWISSI, na kuwa alikuwa tayari kusaidiana na kamati yoyote ili kuweza kurudisha pesa hizo za WALAKA-HOi hapa Tanzania, "ZOEZI au JITIHADA zake ziliishia wapi?" Juhudi zifanywe zilirudishwe na hatua kali zichukuliwe kwa mafisadi wenye pesa hizo. Wana-FB, nawasilisha.
 
Huyu amekosea njia muelekezeni taratibu njia ya kwenda fb
 
pol
Wana-Fb pole na kazi.

Nimeamua kuja na suala la fedha zilizowahi kutajwa na Mh. Zitto kuwa zimefichwa kwenye benki za SWISSI, na kuwa alikuwa tayari kusaidiana na kamati yoyote ili kuweza kurudisha pesa hizo za WALAKA-HOi hapa Tanzania, "ZOEZI au JITIHADA zake ziliishia wapi?" Juhudi zifanywe zilirudishwe na hatua kali zichukuliwe kwa mafisadi wenye pesa hizo. Wana-FB, nawasilisha.
pole mwana JF jamaa amepiga cha juu wewe bado unaulizia imetoka hiyo.
 
Sio rahisi kama Zito alivyosema kwakuwa
-pesa yoyote inayoingia kule inalindwa na sheria za kule
-kuna mkataba wa kutunza siri za mteja
-ni pesa ambayo haina mrithi na signatory ni mmoja tuu
Kama ikithibitika ni kweli ni pesa ya wizi yafuatayo hufanyika
-hutengenezewa utaratibu wa kisheria ili hiyo pesa ibadilishwe mmiliki , gharama hukatwa humo ambayo ni kubwa
-halafu inakatwa gharama za kuitunza kodi stahiki na gharama nyinginezo za bank
Taratibu zote zikishakamilika nchi husika haipewi cash bali hiyo pesa hurudishwa kwa njia ya huduma za kijamii elimu na miundombinu
Kibaya ni kwamba makampuni yatakayofanya hizo kazi wataalam vifaa nk vyote vitatoka kwao..kwahiyo mwisho wa siku ni faida juu ya faida
Zitto aliongea kufurahisha genge hicho kitu si rahisi hivyo
 
Je, Tanzania ikitaka kujua wenye pesa hizo na pia kutaka kujua kama zilipatikana mkwa njia zisizo na shaka pamoja na kuzilipia kodi?
 
Hizi pesa huwa hazitoki Tanzania moja kwa moja zina kona nyingi mpaka zifike huko na mara nyingi ni pesa ya commission ambayo hulipwa huko moja kwa moja
Upo utaratibu wa kufuatilia lakini ni mgumu na wa gharama kubwa na kunatakiwa kuwe na hoja nzito hasa kuthibitisha kuwa hiyo pesa iliibwa nchini
Pesa ya San Abacha iliwachukua Nigeria miaka sita na gharama kubwa mpaka walipokuja kuipata na hawakupewa cashmoney

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
 
L

akini hatimae walipata chochote ambacho kimeweza kufanya kitu nchini Nigeria, na naamini wahusika watachukuliwa hatua.
 
Wana-Fb pole na kazi.

Nimeamua kuja na suala la fedha zilizowahi kutajwa na Mh. Zitto kuwa zimefichwa kwenye benki za SWISSI, na kuwa alikuwa tayari kusaidiana na kamati yoyote ili kuweza kurudisha pesa hizo za WALAKA-HOi hapa Tanzania, "ZOEZI au JITIHADA zake ziliishia wapi?" Juhudi zifanywe zilirudishwe na hatua kali zichukuliwe kwa mafisadi wenye pesa hizo. Wana-FB, nawasilisha.
Wewe ondoa upuuzi wako hapa siyo kwa watoto wenzio fb!
 
Back
Top Bottom