Pesa za escrow bana!

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,313
12,613
Maswali:

1. Kwanini escrow iliundwa?
2. Kwanini pesa za escrow ziligawanywa/kuchukuliwa?
3. Je, sababu za kuundwa escrow zilimalizika?
4. Pesa za tanesco (zetu) kwenye pesa zilizogawanywa ni kiasi gani? kama hazifahamiki vema kwanini ziligawanywa kabla ya kufahamika?
 
Back
Top Bottom