Pesa za dowans zikafufue atcl na trl | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa za dowans zikafufue atcl na trl

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Feb 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa
  nimesoma gazeti moja leo jamaa wa dowans amaekuja na malengo ya kusamehe hili deni la tanesco hasa upande wa riba..kwa kifupi anamaanisha tumuhakikishie ile mitambo tuna aitha nunua ama kuikodisha....nimewiwa kuona ngeleja akingangania sana hizi hela zitalipwa na hela zipo..nimekaa nikafikiri mara mbili mbili kama zipo hela za emrgency nyingi hivi kutoka kirahisi kwa nini tusichukue muda huu kuzipelek kuifufua trl na atcl..hata kama ni kwa kuleta consultants kutoka nje waje kutuongoza kwa miezi sita ukijianda kujikomboa...

  Nimeamini kumbe tujimaliza wenyewe kama waziri amangangania kuruhusu kutolewa hela nyingi hivi bila hata bunge kuidhinisha hata hela za kufufa trl na atcl zipo na kutoka aziitaji bunge kwa kuwa n za dharura na yote yako icu

  mh waziri embu peleka wazo hili azina waweza kujikomboa mkifanikiwa nikumbuke hata kikombe cha chai pale kempinsik

  nayatakia mema mashirika haya kama kupona yanyanyuke haraka
   
Loading...