Pesa ya Tanzania iko Top

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,142
6,947
"Tanzania and Uganda Currencies are the best performing media of exchange in East Africa against dollar."

Wataalam wa fedha,tufafanulieni watanzania,tusio wataalamu wa fedha.Ili tuzidi kufurahi.Asante Rais wetu,Mh mama Samia,uchumi unazidi kuwa imara.Naipenda nchi yangu,naipenda Tanzania.
 
Propaganda tu, bado dollar imesimamia 2300. Hata hivyo usipagawe sana na hizi exchange rates maana kikwete aliikuta dollar ipo 1100 kaondoka dollar ikiwa 2158 ,ilipanda kwa sh 1000, jiwe kaikuta 2158 kaipeleka hadi 2300. Ilipanda kwa sh 150 lakin unataka kusema jiwe kwenye uchumi wa nchi alikua Bora kuliko kikwete? Thubutu
Screenshot_20211207-143031_1.jpg
Screenshot_20211207-142716_1.jpg
 
Back
Top Bottom