Pesa ya school fees... Ada.


Hahahaha huyu mdingi alifanana na mdingi wangu mweeeeeh alikua anakupa ada anasema make sure jion umerudi na risiti au pesa zangu...'Kwahiyo kabla sijalipa ada nilikua nauliza kabisaaa mhasibu kama ana risiti kama hana narudi na fedha ohm mweeeeeh
 
huyo mwl hakuninaniliu bwana, ila alikuwa ananipenda sana. alikuwa ananipiga sana picha na mara nyingi alikuwa ananichagulia pose, sasa wateja wengine wakiona picha zangu wanamwambia mwl ananipendelea picha zangu anatoa vizuri zao mbaya............ siku moja akawaambia hivi ndo ulivyo, hii ni picha yako, usitake kutokea kama wengine, lol
ila wewe ulizidisha, mpaka ukanunua kabisa na kamera? ha haaaaaaaaaaa
 
he he he, walimu na mabinti wana tabu.

Wengine full kutoa out, kila weekend, chezeiya boarding wewe.

 

Ahaaa.... nimekusoma sasa..
 
nyie wote mlikua hamjui kuongopa ndo maana mlikua mnakula makofi
 
nyie wote mlikua hamjui kuongopa ndo maana mlikua mnakula makofi

Unaongopa mpaka unaona aibu mwenyewe... ukiuliza unaanza kujichekesha... alafu unajikuta unafunguka mwenye....'' najua nyie mnafikiri mi nimekula ada sawa tu''
 
He he he he, mwalimu wetu alikuwa anatufundisha kilimo cha mchicha kila siku

Yaani nilielewa hadi nikachoka

Shule za msingi za zamani ilikuwa kujifunza kusoma na kuandika tu

Hahahhaha..umenikumbusha kulikua na Sayansi kilimo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…