Man 4 M4C
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 743
- 114
- kwa siku richmond walilipwa milioni 152 kwa miezi 21 = siku 21x30=630
- watanzania wote hadi leo hatujafika milioni 50
- umeme hawajazalisha,
- kama pesa hii tungeamua kuwagawia taslimu watanzania basi kila mtu hadi watoto wacha nga wangepata mil 152/50 = mil 3.04.
- kwa siku 630 kila mtanzania angekuwa na sh mil 3.04 x 630 = milioni 1915.2 yaani bilioni moja na milioni 915 na laki 2.
- kama familia yenu ina watu 10 kwa siku mngepata mil 3.04 x 10 = mil 30 na laki 4
- pesa ya kila siku kwa familia ya watu 10 ingetosha kujenga nyumba ya thamani ya mil 30.
- baada ya siku 10 familia ya watu 10 kila mtu angekuwa na nyumba ya thamani ya mil 10.
- pesa ya siku zilizobaki 630-10 = siku 620 ingefanya kazi nyingine.
- je kwa hesabu nyepesi hivi kuna mtu angekuwa masikini?
sasa hii ilikuwa richmond tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!unataka nyingine????je unasababu ya kujidai wewe ni mwana mwabwepande?