neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 681
- 2,293
Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu
1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo kiroho zaidi kuliko wengi wanavyojua! Kama mtu hatoi fungu la kumi lazima pesa zitaibiwa kwa njia ambayo ni vigumu kujua ( magonjwa, ajali, matatizo ya ndugu nk,) ulipasawa utoe 10% pekee yake utajikuta unatumia zaidi ya 20% ya mshahara wako kwa matumizi ambayo hukuyatarajia
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malaki 3:10
2: UZINZI NA UASHERATI : Ukiwa wewe ni mpenda wanawake na dhambi hii mbaya unayo hutulii na familia yako sahau mshahara wako kukutosha maana Mungu anakupa mshahara wako wewe na familia yako nje ya hapo unatawanya pesa sehemu ambapo hazikutakiwa kwenda! Na zaidi ya hapo ukiwa wewe ni mzinzi au mwasherati huna akili hivyo huwezi kuwa na akili ya kumanage pesa zako
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6:26
3: ULEVI : kama wewe ni mlevi hakuna siku mshahara utakutosha hata siku moja!
Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
Mithali 23:21
Note: hivyo vyitu vitatu ukiepukana navyo huwezi kukaa unalia lia mshahara haukotoshi