Pesa ya Field itatolewa lini?

Pesa ya Field itatolewa lini?

Tumeambiwa kesho..eti walikuwa wanamalizia process moja
 
Hamjapewa bado?, naona ofisini kwetu kuna kadada kamekuja Field siku ya pili leo. Kweli hamjapatiwa za field? ngoja nidodose kesho......Stay away, Prof. Ndalichako Work
 
Back
Top Bottom