Samir7900000
Member
- Jul 26, 2016
- 52
- 26
Habari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
aliyekwambia uanze field nani akati imesimamishwa ad wiki mbili zipite?Habari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
Punguza mchecheto kijana...Habari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
shukeni si wanapika chakula??? heri yako wenzako wako mashambani mda huuHabari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
alafu ukute na wewe ni shabiki wa ccm duuhHabari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
tunabana matumizi kwa sasa..hata miaka ijayo hizi field zote itabidi ziwe zinafanyika mwezi ramadhan na zingine kwaresma ili ziendane na kasi ya kubana matumizi
watoe pesaaaaHahahatunabana matumizi kwa sasa..hata miaka ijayo hizi field zote itabidi ziwe zinafanyika mwezi ramadhan na zingine kwaresma ili ziendane na kasi ya kubana matumizi

CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHabari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
muda wa field hauja wadia rudi nyumbani mpaka tarehe 7 kama waziri wa elimu alivyowaambia au subiri taarifa nyingine kama itasogezwa mbele au kusitishwa BUT pole sana kijanaHabari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
hz0 week mbili wameanza kuzihesabu tangu lini....?muda wa field hauja wadia rudi nyumbani mpaka tarehe 7 kama waziri wa elimu alivyowaambia au subiri taarifa nyingine kama itasogezwa mbele au kusitishwa BUT pole sana kijana
Mtaisoma namba malaika anatakiwa aishi kama shetani, kama hukuelewa kauli hii basi tenaHabari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.