Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,257 21,286 May 2, 2017 #2 Ha ha haaaa, mwambie atateleza aanguke bure, arudi tu, hali ya hewa inaruhusu, jamaa alishafikia steji ya kuvua shati kabisa.
Ha ha haaaa, mwambie atateleza aanguke bure, arudi tu, hali ya hewa inaruhusu, jamaa alishafikia steji ya kuvua shati kabisa.
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,375 29,732 May 2, 2017 #3 Jamaa anakuwa ana kitu cha punda, dada kaona isiwe shida!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,306 May 2, 2017 #4 hahaha akimkamata anamgonga ngozi hadharani walahi
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,660 154,801 May 2, 2017 #5 Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini... Pesa kitu gani... Muache akimbie tu... Cc: mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 67,020 168,016 May 2, 2017 #6 Smart911 said: Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini... Pesa kitu gani... Muache akimbie tu... Cc: mahondaw Click to expand... Hahahaah Smart911 love njaa mbaya sana Thanks God
Smart911 said: Tunaambiwa tusamehe saba mara sabini... Pesa kitu gani... Muache akimbie tu... Cc: mahondaw Click to expand... Hahahaah Smart911 love njaa mbaya sana Thanks God
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,660 154,801 May 2, 2017 #7 mahondaw said: Hahahaah Smart911 love njaa mbaya sana Thanks God Click to expand... Yeah mahondaw wangu... Huyo mwanamke ni njaa zake zimempeleka huko... Sijui kakumbwa na nini mpaka akiimbie...
mahondaw said: Hahahaah Smart911 love njaa mbaya sana Thanks God Click to expand... Yeah mahondaw wangu... Huyo mwanamke ni njaa zake zimempeleka huko... Sijui kakumbwa na nini mpaka akiimbie...
sharifa mohamedi JF-Expert Member Mar 7, 2017 247 266 May 2, 2017 #8 Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 51,295 47,625 May 2, 2017 #9 sharifa mohamedi said: Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo Click to expand... Yapi tena
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 May 2, 2017 #10 sharifa mohamedi said: Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo Click to expand... Ulitakaje labda? Au mnadhani hatuzipendi hela zetu?
sharifa mohamedi said: Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo Click to expand... Ulitakaje labda? Au mnadhani hatuzipendi hela zetu?
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 87,117 120,496 May 2, 2017 #12 sharifa mohamedi said: Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo Click to expand... Avatar yako si mchezo! Ova
sharifa mohamedi said: Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo Click to expand... Avatar yako si mchezo! Ova
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Jan 23, 2013 5,352 9,321 May 2, 2017 #13 sharifa mohamedi said: Ila wanaume na nyinyi mnamatatizo Click to expand... Si haba
sharifa mohamedi JF-Expert Member Mar 7, 2017 247 266 May 2, 2017 #15 mrangi said: Avatar yako si mchezo! Ova Click to expand... Asante
Ifumange JF-Expert Member Oct 21, 2016 902 1,071 May 2, 2017 #16 Nasema utatoa hutoi.. Utatoa hutoi ....?
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 87,117 120,496 May 2, 2017 #17 jimmyfoxxgongo said: Si haba Click to expand... Anaita fulani Ova
FYATU JF-Expert Member Dec 7, 2011 5,455 4,575 May 2, 2017 #18 'Wanaume tumeumbwa, mateso...mateso kuhangaika'
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,507 70,637 May 2, 2017 #19 Nauliza utatoa hutoi utatoa hutoi...(in dullah makabila's voice)
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Jan 23, 2013 5,352 9,321 May 2, 2017 #20 Wac mrangi said: Anaita fulani Ova Click to expand... ha nimfuate PM kwanza tukatete Jimmyfoxxgongo